Mhhh! Shambulio litaanza hivi karibuni, shambulio ambalo halijawahi kutokea tangu Vita vya Kidunia vya pili.Israel Channel 14:
"Shambulio kubwa dhidi ya Iran litaanza hivi karibuni, shambulio ambalo halijawahi kutokea tangu Vita vya Kidunia vya pili."
Ndiyo. Sisi ni Thomaso. Ngoja tuone ndipo tutaamini.Hii ni uhakika, ila watu watabeza