Tv channel-14 ya Israel ikitoa uchambuzi jinsi atakavyopigwa Iran!

Echolima1

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2019
Posts
9,662
Reaction score
8,023
Israel Channel 14:

"Shambulio kubwa dhidi ya Iran litaanza hivi karibuni, shambulio ambalo halijawahi kutokea tangu Vita vya Kidunia vya pili."

Your browser is not able to display this video.
 
Wapi ndugu iyo ndio ndoto yao lkn wameshindwa kwa miaka mingi kuileta kwenye vitendo hofu wanayokubwa asa majesh yao yalio jilan na Iran !!!!

pia Toto lao Israel litakuwa kwenye Usalama upi..!!!

Nianacho mm Tramp na Israel wapo kwenye Ajenda ya kuifanya Iran ijiisi ipo kwenye kushambuliwa iwe kwenye hofu kuu!!!!

. Kisha wao uku waendelee kuipola GAZA. Ila Wairan watu welevu sana hiii njama wataikwamisha tu..nawamini kwa %109..
 
hata wewe ukikaa kwenye viyoyozi km hivyo unaweza kudhani una uwezo wa kupiga dunia nzima...kumbe kiyoyozi huwa kinapuliza akili na akili zinakuwa zinatoka kidogo mpk uzime kiyoyozi ndo zinarudi
 
Israel Channel 14:

"Shambulio kubwa dhidi ya Iran litaanza hivi karibuni, shambulio ambalo halijawahi kutokea tangu Vita vya Kidunia vya pili."

Mhhh! Shambulio litaanza hivi karibuni, shambulio ambalo halijawahi kutokea tangu Vita vya Kidunia vya pili.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…