Uchaguzi 2020 TV na Redio hazitangazi ujio wa Lissu, lakini mbona watu ni wengi?

Uchaguzi 2020 TV na Redio hazitangazi ujio wa Lissu, lakini mbona watu ni wengi?

Wanafunzi wanavuliwa uniform na kujazwa viwanjani[emoji15]?
Daah, Kuna thread nyingine, watu huwa mnaandika Kama vile mmekatwa vichwa, Sasa haya uliyoandika hapa ndo mashudu gani. ? [emoji23][emoji23][emoji23]
Tulia dogo ili sindano ikuingie vizuri
 
Labda gari za matangazo nazo huwa zinasikika mara moja tu usipokuwa makini hutaelewa mi alivyokuja mbeya nimekuja kupata taarifa mida ya saa nne hivi asubuhi
 
Katiba ya nchi hii ni ya ovyo sana,kuelekea kwenye kampeni rais alitakiwa kuvuliwa madaraka ili awe sawa na wengine ili kubalance mizani,ILA KINACHOFANYIKA SASA HIVI NI UJUHA
 
Naanza kuogopa na kuwashangaa wanaobeza mitandao ya kijamii na nguvu yake.
Tundu Lissu na Chadema kwa ujumla imezibiwa kutangazwa na TV na Redio za nchi hii kueleza kwa ufasaha ratiba na Sera za Chadema, lakini jambo LA ajabu mwitikio kila mahali aendapo ni mkubwa mno..
Kwani CHADEMA hawaaliki wanachama wao
 
Naanza kuogopa na kuwashangaa wanaobeza mitandao ya kijamii na nguvu yake.
Tundu Lissu na Chadema kwa ujumla imezibiwa kutangazwa na TV na Redio za nchi hii kueleza kwa ufasaha ratiba na Sera za Chadema, lakini jambo LA ajabu mwitikio kila mahali aendapo ni mkubwa mno...
Na redio hizo hizo zitatumika kumtangaza mshindi wa kiti cha URAIS ambaye sio chaguo la wananchi
 
Yaani mimi ningekuwa ndo Magufuli ningejitoa kwenye uchaguzi huu nikamwachia Lissu achukue kombe. Maana wananchi wanakera na wanatia hasira.Magufuli salam zikufikie wananchi hawakutaki tena ondoka. Ushauri wangu kwa Magufuli bora ajiuzuru vinginevyo tutamtia aibu October 28. Chaguo la watanzania wote ni Lissu
Wananchi wote ndo nini, unataka kumaanisha Wananchi wote wana vichinjio,yaani hata watoto nao wana vichinjio.
 
Naanza kuogopa na kuwashangaa wanaobeza mitandao ya kijamii na nguvu yake.
Tundu Lissu na Chadema kwa ujumla imezibiwa kutangazwa na TV na Redio za nchi hii kueleza kwa ufasaha ratiba na Sera za Chadema, lakini jambo LA ajabu mwitikio kila mahali aendapo ni mkubwa mno...
Wananchi wamepigika sana.
 
Back
Top Bottom