Uchaguzi 2020 TV na Redio hazitangazi ujio wa Lissu, lakini mbona watu ni wengi?

Uchaguzi 2020 TV na Redio hazitangazi ujio wa Lissu, lakini mbona watu ni wengi?

kuna mgombea kazuia TV zote zimtangaze yeye, Radio zote yeye, wasanii wote waimbe nyimbo za kumsifu yeye tu - lakini cha ajabu nyomi kwa mgombea mwenzake haipungui ndiyo kwanza inazidi sasa anabakia kushangaa tu kwamba hawa watu wanapashanaje habari??
Mimi kinachonishangaza ni yeye kumjibu mara kwa mara, anamsikiliza kupitia nini ikiwa media zote zinamtangaza yeye ?
 
Wanafunzi wanavuliwa uniform na kujazwa viwanjani😳?
Daah, Kuna thread nyingine, watu huwa mnaandika Kama vile mmekatwa vichwa, Sasa haya uliyoandika hapa ndo mashudu gani. ? 😂😂😂
Mkuu, hiyo kaitamka Lissu mara kadhaa majukwaani na sijasikia ccm au Magufuli campaign wakikanusha. Hilo la wanafunzi ndio kabisaaa, ilibidi wizara ya elimu ikanushe vikali na kumuonya Lissu. Lakini kimyaaaa. Wewe ukishangaa hauna uzito wowote mkuu.
 
Yaani mimi ningekuwa ndo Magufuli ningejitoa kwenye uchaguzi huu nikamwachia Lissu achukue kombe. Maana wananchi wanakera na wanatia hasira.Magufuli salam zikufikie wananchi hawakutaki tena ondoka. Ushauri wangu kwa Magufuli bora ajiuzuru vinginevyo tutamtia aibu October 28. Chaguo la watanzania wote ni Lissu
Behind Lissu there is spiritual Power!! Ushindi ni mweupe!! Mtu asicheze na nguvu za Mungu kama akitaka kukuinua!!
 
Naanza kuogopa na kuwashangaa wanaobeza mitandao ya kijamii na nguvu yake.
Tundu Lissu na Chadema kwa ujumla imezibiwa kutangazwa na TV na Redio za nchi hii kueleza kwa ufasaha ratiba na Sera za Chadema, lakini jambo LA ajabu mwitikio kila mahali aendapo ni mkubwa mno...
Na bado mtayaona makubwa zaidi wakati wa kupiga,kuhesabu,kulinda na kutangazwa matokeo.
 
Naanza kuogopa na kuwashangaa wanaobeza mitandao ya kijamii na nguvu yake.
Tundu Lissu na Chadema kwa ujumla imezibiwa kutangazwa na TV na Redio za nchi hii kueleza kwa ufasaha ratiba na Sera za Chadema, lakini jambo LA ajabu mwitikio kila mahali aendapo ni mkubwa mno...
Kizuri chajiuza. Kipo mioyoni mwa watu.
 
Wanafunzi wanavuliwa uniform na kujazwa viwanjani[emoji15]?
Daah, Kuna thread nyingine, watu huwa mnaandika Kama vile mmekatwa vichwa, Sasa haya uliyoandika hapa ndo mashudu gani. ? [emoji23][emoji23][emoji23]
Huelewi? Kama SAA za masomo wanafunzi wanaambiwa warudi mabwenini kuvua uniform na kuvaa za nyumbani kisha kwenda viwanjani kuangalia tamasha huko sio kuvuliwa?
Hapo ungetumia akili kidogo ungeelewa, lakini aaah!
 
Ule msemo maarufu wa mama Tibaijuka kinyume chake una husika hapa " Unavyozidi kubana ndivyo watu wanavyozidi kutamani"
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Wanafunzi wanavuliwa uniform na kujazwa viwanjani😳?
Daah, Kuna thread nyingine, watu huwa mnaandika Kama vile mmekatwa vichwa, Sasa haya uliyoandika hapa ndo mashudu gani. ? 😂😂😂
Hilo ni kweli wala sio uongo, watumishi wote wa serikali lazima uende usipoenda ajira yako atarini
 
Wananchi wote ndo nini, unataka kumaanisha Wananchi wote wana vichinjio,yaani hata watoto nao wana vichinjio.
Ndio hata watoto wanahusika! Hivi 28/10 asubuhi ukiondoka na mwanao akaangua kilio kuwa baba usimchague jiwe ni katili sana, jee utampigia hata kama ulidhamiria?
 
Mbona hiyo mitandao imekoma kuonyesha nyomi tangu aingie kigoma?
Leo kashindwa kupanda jukwaa kwa kuwa watu hawakuwapo wengi.
 
Majuzi nilikwenda kijijini nilishangaa kuona almost kila mtu ana smart phone na anafatilia kampeni za Lissu tena wapo updated kuliko hata mimi niliyetoka mjini

Nikasema kweli dunia imekua ndogo sana
Kila mkoa watu wanaulizana anakuja lini anakuja lini mtu akishajua anasubiri tatehe
 
Back
Top Bottom