Mkaruka
JF-Expert Member
- Feb 5, 2013
- 19,629
- 34,199
Mimi kinachonishangaza ni yeye kumjibu mara kwa mara, anamsikiliza kupitia nini ikiwa media zote zinamtangaza yeye ?kuna mgombea kazuia TV zote zimtangaze yeye, Radio zote yeye, wasanii wote waimbe nyimbo za kumsifu yeye tu - lakini cha ajabu nyomi kwa mgombea mwenzake haipungui ndiyo kwanza inazidi sasa anabakia kushangaa tu kwamba hawa watu wanapashanaje habari??