Uchaguzi 2020 TV na Redio hazitangazi ujio wa Lissu, lakini mbona watu ni wengi?

Wanafunzi wanavuliwa uniform na kujazwa viwanjani[emoji15]?
Daah, Kuna thread nyingine, watu huwa mnaandika Kama vile mmekatwa vichwa, Sasa haya uliyoandika hapa ndo mashudu gani. ? [emoji23][emoji23][emoji23]
Tulia dogo ili sindano ikuingie vizuri
 
Labda gari za matangazo nazo huwa zinasikika mara moja tu usipokuwa makini hutaelewa mi alivyokuja mbeya nimekuja kupata taarifa mida ya saa nne hivi asubuhi
 
Katiba ya nchi hii ni ya ovyo sana,kuelekea kwenye kampeni rais alitakiwa kuvuliwa madaraka ili awe sawa na wengine ili kubalance mizani,ILA KINACHOFANYIKA SASA HIVI NI UJUHA
 
Kwani CHADEMA hawaaliki wanachama wao
 
Na redio hizo hizo zitatumika kumtangaza mshindi wa kiti cha URAIS ambaye sio chaguo la wananchi
 
Wananchi wote ndo nini, unataka kumaanisha Wananchi wote wana vichinjio,yaani hata watoto nao wana vichinjio.
 
Wananchi wamepigika sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…