Mimi kinachonishangaza ni yeye kumjibu mara kwa mara, anamsikiliza kupitia nini ikiwa media zote zinamtangaza yeye ?kuna mgombea kazuia TV zote zimtangaze yeye, Radio zote yeye, wasanii wote waimbe nyimbo za kumsifu yeye tu - lakini cha ajabu nyomi kwa mgombea mwenzake haipungui ndiyo kwanza inazidi sasa anabakia kushangaa tu kwamba hawa watu wanapashanaje habari??
YouTubeMimi kinachonishangaza ni yeye kumjibu mara kwa mara, anamsikiliza kupitia nini ikiwa media zote zinamtangaza yeye ?
Basi ni Mpumbavu, kwanini mtu uliye MUTE kila kona unahangaika tena kupata taarifa zake.YouTube
Mkuu, hiyo kaitamka Lissu mara kadhaa majukwaani na sijasikia ccm au Magufuli campaign wakikanusha. Hilo la wanafunzi ndio kabisaaa, ilibidi wizara ya elimu ikanushe vikali na kumuonya Lissu. Lakini kimyaaaa. Wewe ukishangaa hauna uzito wowote mkuu.Wanafunzi wanavuliwa uniform na kujazwa viwanjani😳?
Daah, Kuna thread nyingine, watu huwa mnaandika Kama vile mmekatwa vichwa, Sasa haya uliyoandika hapa ndo mashudu gani. ? 😂😂😂
Watu wanakuja kumshangaa mtu asiyechana nywele
Behind Lissu there is spiritual Power!! Ushindi ni mweupe!! Mtu asicheze na nguvu za Mungu kama akitaka kukuinua!!Yaani mimi ningekuwa ndo Magufuli ningejitoa kwenye uchaguzi huu nikamwachia Lissu achukue kombe. Maana wananchi wanakera na wanatia hasira.Magufuli salam zikufikie wananchi hawakutaki tena ondoka. Ushauri wangu kwa Magufuli bora ajiuzuru vinginevyo tutamtia aibu October 28. Chaguo la watanzania wote ni Lissu
👏🏾👏🏾Behind Lissu there is spiritual Power!! Ushindi ni mweupe!! Mtu asicheze na nguvu za Mungu kama akitaka kukuinua!!
Na bado mtayaona makubwa zaidi wakati wa kupiga,kuhesabu,kulinda na kutangazwa matokeo.Naanza kuogopa na kuwashangaa wanaobeza mitandao ya kijamii na nguvu yake.
Tundu Lissu na Chadema kwa ujumla imezibiwa kutangazwa na TV na Redio za nchi hii kueleza kwa ufasaha ratiba na Sera za Chadema, lakini jambo LA ajabu mwitikio kila mahali aendapo ni mkubwa mno...
Kizuri chajiuza. Kipo mioyoni mwa watu.Naanza kuogopa na kuwashangaa wanaobeza mitandao ya kijamii na nguvu yake.
Tundu Lissu na Chadema kwa ujumla imezibiwa kutangazwa na TV na Redio za nchi hii kueleza kwa ufasaha ratiba na Sera za Chadema, lakini jambo LA ajabu mwitikio kila mahali aendapo ni mkubwa mno...
Huelewi? Kama SAA za masomo wanafunzi wanaambiwa warudi mabwenini kuvua uniform na kuvaa za nyumbani kisha kwenda viwanjani kuangalia tamasha huko sio kuvuliwa?Wanafunzi wanavuliwa uniform na kujazwa viwanjani[emoji15]?
Daah, Kuna thread nyingine, watu huwa mnaandika Kama vile mmekatwa vichwa, Sasa haya uliyoandika hapa ndo mashudu gani. ? [emoji23][emoji23][emoji23]
Sio yule asiye jua kuvaa suti...??Watu wanakuja kumshangaa mtu asiyechana nywele
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ule msemo maarufu wa mama Tibaijuka kinyume chake una husika hapa " Unavyozidi kubana ndivyo watu wanavyozidi kutamani"
Kwa hiyo hayo magari yanapita nyumba kwa nyumba,tofauti na tv na radio ambazo almost kila mtu anayo hasa radio?Magari ya matngazo yanayozunguka kutangaza mkutano huyaoni au?
Hilo ni kweli wala sio uongo, watumishi wote wa serikali lazima uende usipoenda ajira yako atariniWanafunzi wanavuliwa uniform na kujazwa viwanjani😳?
Daah, Kuna thread nyingine, watu huwa mnaandika Kama vile mmekatwa vichwa, Sasa haya uliyoandika hapa ndo mashudu gani. ? 😂😂😂
Ndio hata watoto wanahusika! Hivi 28/10 asubuhi ukiondoka na mwanao akaangua kilio kuwa baba usimchague jiwe ni katili sana, jee utampigia hata kama ulidhamiria?Wananchi wote ndo nini, unataka kumaanisha Wananchi wote wana vichinjio,yaani hata watoto nao wana vichinjio.
Kila mkoa watu wanaulizana anakuja lini anakuja lini mtu akishajua anasubiri tateheMajuzi nilikwenda kijijini nilishangaa kuona almost kila mtu ana smart phone na anafatilia kampeni za Lissu tena wapo updated kuliko hata mimi niliyetoka mjini
Nikasema kweli dunia imekua ndogo sana