Kadoda nguku
JF-Expert Member
- Apr 22, 2019
- 332
- 475
Hata mwana adamu atakapokuja haitaji matangazo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna watu wamelipwa kufatilia msafara wake kujua kasema nini kwa gharama za serikali. Pia Magu anafuatilia kupitia JFMimi kinachonishangaza ni yeye kumjibu mara kwa mara, anamsikiliza kupitia nini ikiwa media zote zinamtangaza yeye ?
dada tulizaga Geny3 mndoshi basiWatu wanakuja kumshangaa mtu asiyechana nywele
[emoji23] [emoji23] Nyie ndio ambao baada ya oktoba mtabadirisha ID zenu humu
Yani MaCCM nikama wana wagombea wawili wa uraisi kwenye chama chaoWatu wanakuja kumshangaa mtu asiyechana nywele
Mdogo wangu yupo tabora boys wamelazimishwa kutoka wote kwenda tabora leo kumpokea Magufuli Tena weambiwa kuvaa nguo za nyumbani ana miaka 16 ndio yupo kidaro Cha 5Wanafunzi wanavuliwa uniform na kujazwa viwanjani[emoji15]?
Daah, Kuna thread nyingine, watu huwa mnaandika Kama vile mmekatwa vichwa, Sasa haya uliyoandika hapa ndo mashudu gani. ? [emoji23][emoji23][emoji23]
Utaratibu wa Tabora boys kuruhusu mwanafunzi kwenda na nguo za nyumbani umeanza lini🤔?Au serikali ilitoa hela wanafunzi wanunuliwe nguo za nyumbani kwaajili ya kampeni? Labda ungezungumzia mzumbe, Ilboru ndo sina uzoefu nako, lakini tabora boys, bado Sana kunidanganya. Mimi nimesoma advance hapo, na mkuu wa shule nikiemuacha bado Ni huyohuyo mwaka wa 16 Sasa.Mdogo wangu yupo tabora boys wamelazimishwa kutoka wote kwenda tabora leo kumpokea Magufuli Tena weambiwa kuvaa nguo za nyumbani ana miaka 16 ndio yupo kidaro Cha 5
Mimi sikwenda,kwenye mkutano wowote, wa kampeni na ajira yangu haiko hatarini,hayo unayosema wewe,huenda yanatokea kwenye Tanzania yako..!Hilo ni kweli wala sio uongo, watumishi wote wa serikali lazima uende usipoenda ajira yako atarini
Subiri, baada ya kampeni tutamuonya ipasavyo, Sasa tuko busy.Mkuu, hiyo kaitamka Lissu mara kadhaa majukwaani na sijasikia ccm au Magufuli campaign wakikanusha. Hilo la wanafunzi ndio kabisaaa, ilibidi wizara ya elimu ikanushe vikali na kumuonya Lissu. Lakini kimyaaaa. Wewe ukishangaa hauna uzito wowote mkuu.
Watu wana mwamko mkuu asikwambie mtuKila mkoa watu wanaulizana anakuja lini anakuja lini mtu akishajua anasubiri tatehe
Hiyo inaitwa janja ya nyani mkuu. Lissu kaistukia.Subiri, baada ya kampeni tutamuonya ipasavyo, Sasa tuko busy.
Halafu hawa wanaojiita wasomi wa UD, UDASA, wanasema Lissu aache "kumtukana na kumkejeli" Magufuli . Yaani kumwambiq mtu ukweli ni kumtukana!Magufuli kabaki kutukana kwenye mikutano kwahasira.
Hakuna cha Nini wala Nini,chamsingi tujifurahishe humu kwenye majukwaa,Ila Lissu hawezi kuchukua Dola,hilo hata wewe unalijua kabisa.Hiyo inaitwa janja ya nyani mkuu. Lissu kaistukia.
Kwa rekodi ya wizi na uporaji ambao Magufuli na serikali yake wameonesha kuanzia chaguzi za marudio, uchaguzi wa serikali za mitaa, na huu uenguaji, bila aibu, wa wagombea wa upinzani tuuu, wala sina shaka kwamba uporaji utaendelezwa uchaguzi mkuu. Huo ni uthibitisho kwamba ccm inapumulia mashine, na kwamba imekalia TIME BOMB. Za mwizi 40 bwasheeHakuna cha Nini wala Nini,chamsingi tujifurahishe humu kwenye majukwaa,Ila Lissu hawezi kuchukua Dola,hilo hata wewe unalijua kabisa.
Sawa,ndomaana inatakiwa tusubiri kizazi kingine kabisa ili CCM itoke madarakani🤪!Kwa rekodi ya wizi na uporaji ambao Magufuli na serikali yake wameonesha kuanzia chaguzi za marudio, uchaguzi wa serikali za mitaa, na huu uenguaji, bila aibu, wa wagombea wa upinzani tuuu, wala sina shaka kwamba uporaji utaendelezwa uchaguzi mkuu. Huo ni uthibitisho kwamba ccm inapumulia mashine, na kwamba imekalia TIME BOMB. Za mwizi 40 bwashee
Ukisubiri umeliwa. Hakuna alieamini kuna wa kumpeleka puta Magu 2020. Kila mtu alijua utakuwa mteremko. Hiyo generation change haiji tu automatic. Inachochewa. Tundu Lissu anatengeneza momentum kila uchao. Hiki ni kibarua cha kila uchaguzi. Hata kama Magufuli atakuwa rais tena, sidhani ataendeleza mwendo uleule.Sawa,ndomaana inatakiwa tusubiri kizazi kingine kabisa ili CCM itoke madarakani🤪!