TV ya Azam Sasa rasmi kutangaza pombe hadharani

Desprospero

JF-Expert Member
Joined
Feb 1, 2023
Posts
1,015
Reaction score
2,493
KWA mujibu wa taarifa ya CEO wa Club ya Simba SC Imani Kajula Leo 02/11/2023 kwa vyombo vya habari, Club hiyo imeingia mkataba wa kibiashara na kampuni ya SBL watengenezaji wa pombe aina ya Serengeti! Ni mkataba wa sh 1.5 Bilioni Kwa miaka 3 ambapo itatoa fedha Kwa Simba kiasi cha shilingi 500 milioni kila mwaka.

Katika mkataba huo Kituo Cha Televisheni ya Azam inayomilikiwa na Bhakresa (muislamu) inayotangaza NBC Premium Legue italazimika kutangaza pombe ya Serengeti katika kila mchezo ndani ya ligi yetu.

Ikumbukwe kwa Imani ya Bakhresa makampuni yake ya media yamejitenga kisera kutangaza bidhaa kama pombe, sigara, michezo ya bahati nasibu na makatazo yote ya dini ya Kiislamu.

Swali je, Said Salim Bakhresa ameamua kukomunika yaishe alimradi "maokoto" yanaingia?
 
Yaani wewe kama sio choko sijui! Inshort unaliwa k
 
Hiyo m-bet (simba) parimatch (Geita, nk), sportpesa (namungo, singida)

Bank NBC kwa ligi kuu (Bank ambazo zina toza riba)

Hivyo sio ajabu kuona kuna vitu kama hivi vya Pombe

Pia dini ukiimeza kama ilivyo utakuta kuwa mpira ni haramu
 
Mbona wanatangaza ngumi?. Kwenye biashara ukiweka imani hutafanya biashara.
Sidhani kama ngumi imekatazwa na Quran japo Kuna kipindi kilipigwa stop Zanzibar kwenye uislamu 95%. Kwani wanaweza kunitangazia bucha yangu ya kitimoto?
 
KWA mujibu wa taarifa ya CEO wa Club ya Simba SC Imani Kajula Leo 02/11/2023 kwa vyombo vya habari, Club hiyo imeingia mkataba wa kibiashara na kampuni ya SBL watengenezaji wa pombe aina ya Serengeti! Ni mkataba wa sh 1.5 Bilioni Kwa miaka 3 ambapo itatoa fedha Kwa Simba kiasi cha shilingi 500 milioni kila mwaka.

Katika mkataba huo Kituo Cha Televisheni ya Azam inayomilikiwa na Bhakresa (muislamu) inayotangaza NBC Premium Legue italazimika kutangaza pombe ya Serengeti katika kila mchezo ndani ya ligi yetu.

Ikumbukwe kwa Imani ya Bakhresa makampuni yake ya media yamejitenga kisera kutangaza bidhaa kama pombe, sigara, michezo ya bahati nasibu na makatazo yote ya dini ya Kiislamu.

Swali je, Said Salim Bakhresa ameamua kukomunika yaishe alimradi "maokoto" yanaingia?

Kwamba Azam ni msikiti?
 
Hivi kati ya pombe na kamali kipi kilitangulia? Jiwe kuu la waashi
 
Back
Top Bottom