imhotep
JF-Expert Member
- Oct 13, 2012
- 55,997
- 88,219
Hawajawahi kunywa Guinness 0.0 hao.Waulize Waislamu waajiriwa kwenye Azam Media. Ni sera ya Newark
Dhambi imetolewa. GUINNESS imeachwa.😁
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hawajawahi kunywa Guinness 0.0 hao.Waulize Waislamu waajiriwa kwenye Azam Media. Ni sera ya Newark
Cha msingi ni kushauri wasitengeneze pombe inayowangisha kichwaKWA mujibu wa taarifa ya CEO wa Club ya Simba SC Imani Kajula Leo 02/11/2023 kwa vyombo vya habari, Club hiyo imeingia mkataba wa kibiashara na kampuni ya SBL watengenezaji wa pombe aina ya Serengeti! Ni mkataba wa sh 1.5 Bilioni Kwa miaka 3 ambapo itatoa fedha Kwa Simba kiasi cha shilingi 500 milioni kila mwaka.
Katika mkataba huo Kituo Cha Televisheni ya Azam inayomilikiwa na Bhakresa (muislamu) inayotangaza NBC Premium Legue italazimika kutangaza pombe ya Serengeti katika kila mchezo ndani ya ligi yetu.
Ikumbukwe kwa Imani ya Bakhresa makampuni yake ya media yamejitenga kisera kutangaza bidhaa kama pombe, sigara, michezo ya bahati nasibu na makatazo yote ya dini ya Kiislamu.
Swali je, Said Salim Bakhresa ameamua kukomunika yaishe alimradi "maokoto" yanaingia?
Hapa ndio upumbavu wa islam, na wa islam(sio wote) unapoanzia, ni la kitu kukiangalia kupitia, macho ya, dini! Political islam ni janga,KWA mujibu wa taarifa ya CEO wa Club ya Simba SC Imani Kajula Leo 02/11/2023 kwa vyombo vya habari, Club hiyo imeingia mkataba wa kibiashara na kampuni ya SBL watengenezaji wa pombe aina ya Serengeti! Ni mkataba wa sh 1.5 Bilioni Kwa miaka 3 ambapo itatoa fedha Kwa Simba kiasi cha shilingi 500 milioni kila mwaka.
Katika mkataba huo Kituo Cha Televisheni ya Azam inayomilikiwa na Bhakresa (muislamu) inayotangaza NBC Premium Legue italazimika kutangaza pombe ya Serengeti katika kila mchezo ndani ya ligi yetu.
Ikumbukwe kwa Imani ya Bakhresa makampuni yake ya media yamejitenga kisera kutangaza bidhaa kama pombe, sigara, michezo ya bahati nasibu na makatazo yote ya dini ya Kiislamu.
Swali je, Said Salim Bakhresa ameamua kukomunika yaishe alimradi "maokoto" yanaingia?
Kwa watu Wajinga kama wewe watajifanya wamekuelewa. Ebu nikuulize, kwenye Mkataba wa Simba na Serengeti Kuna mahali imesemwa Azam wataweka matangazo ya Serengeti Bia kwa niaba ya Simba?KWA mujibu wa taarifa ya CEO wa Club ya Simba SC Imani Kajula Leo 02/11/2023 kwa vyombo vya habari, Club hiyo imeingia mkataba wa kibiashara na kampuni ya SBL watengenezaji wa pombe aina ya Serengeti! Ni mkataba wa sh 1.5 Bilioni Kwa miaka 3 ambapo itatoa fedha Kwa Simba kiasi cha shilingi 500 milioni kila mwaka.
Katika mkataba huo Kituo Cha Televisheni ya Azam inayomilikiwa na Bhakresa (muislamu) inayotangaza NBC Premium Legue italazimika kutangaza pombe ya Serengeti katika kila mchezo ndani ya ligi yetu.
Ikumbukwe kwa Imani ya Bakhresa makampuni yake ya media yamejitenga kisera kutangaza bidhaa kama pombe, sigara, michezo ya bahati nasibu na makatazo yote ya dini ya Kiislamu.
Swali je, Said Salim Bakhresa ameamua kukomunika yaishe alimradi "maokoto" yanaingia?
Hujui hata unesema na kuandika nini.Kwa watu Wajinga kama wewe watajifanya wamekuelewa. Ebu nikuulize, kwenye Mkataba wa Simba na Serengeti Kuna mahali imesemwa Azam wataweka matangazo ya Serengeti Bia kwa niaba ya Simba?
we ndio choko, mwenzako kaleta hoja nzuri kujadiliwa we unaleta matusi, una akili?Yaani wewe kama sio choko sijui! Inshort unaliwa k
binti kulikoni mbona matusi?Choko wwe
Kwani azam tv wanatangaza uzinzi?Pombe sio kosa jamani. Dhambi zipo nyingi Sana. HV uzinzi na pombe ipi no shida japo vyote binatest nzuri
Wewe ndiye hukuwaza vizuri. Hivi mpira wa Simba ungechezwa gizani isioneshwe Dunia ikaona jezi za Simba mathalan au soksi zao kuwa na nembo ya Serengeti unadhani angewekeza Kwa Simba? Sasa nani atatangaza bidhaa hiyo ili inyweke sana wapate mauzo? Mbona unachelewa kuelewa?Mtoa mada sijui umetumia Nini kuwaza huo ni mkataba wa Simba na Serengeti na sio Azam Bakhressa POMBE kwake haramu hata pale Zanzibar katika hotel yake Pombe hairuhusiwi kuuzwa.
Wapi nimesema Azam ameingia mkataba na Serengeti? Mbona lojiki Iko wazi mnoo? Ahh!Mtoa mada umeshindwa kuelewa kitu kimoja, AZAM MEDIA hausiki kwa namna yoyote yeye makubalino yake na mkataba wake na TFF ni kuonyesha mashindano ya NBC PREMIER LEAGUE ambayo SIMBA naye ni mshiriki. Mhusika wa makosa hayo ni viongozi wote wa SIMBA SC ambao wao ndio wenye mamlaka na ndio walioingia mkataba na club ikalipwa pesa, hata wachezaji hawana makosa maana wajibu wao ni kuitumikia club kwa mujibu wa mikataba yao.
Azam hajalipwa pesa ili atangaze pombe usipotoshe! Aliyelipwa pesa na TBL ili atangaze ni SIMBA SC.
Ningekubaliana na wewe endapo siku wadhamini wa kwenye luninga yake wakawa ni makampuni ya pombe au kamari maana haki ya wadhamini wa kipindi ipo chini yake.
Sent from my SM-A037F using JamiiForums mobile app
Sawa sawaMtoa mada umeshindwa kuelewa kitu kimoja, AZAM MEDIA hausiki kwa namna yoyote yeye makubalino yake na mkataba wake na TFF ni kuonyesha mashindano ya NBC PREMIER LEAGUE ambayo SIMBA naye ni mshiriki. Mhusika wa makosa hayo ni viongozi wote wa SIMBA SC ambao wao ndio wenye mamlaka na ndio walioingia mkataba na club ikalipwa pesa, hata wachezaji hawana makosa maana wajibu wao ni kuitumikia club kwa mujibu wa mikataba yao.
Azam hajalipwa pesa ili atangaze pombe usipotoshe! Aliyelipwa pesa na TBL ili atangaze ni SIMBA SC.
Ningekubaliana na wewe endapo siku wadhamini wa kwenye luninga yake wakawa ni makampuni ya pombe au kamari maana haki ya wadhamini wa kipindi ipo chini yake.
Sent from my SM-A037F using JamiiForums mobile app
Mbet,sport Pesa hizi ni kamali na ni haramu kwa Waislamu, Lakini kumbuka Azam TV and Azam group of companies siyo ISLAMIC institutions,wanafanya biashara, NBC hutoza riba,riba ni haramu kwa Waislamu,je Azam fc hawapokei ile pesa? Acheni Akili mgando,pale siyo msikitini [emoji1241][emoji1241] Nchi yangu ambayo watu wakisema nmuachia MUNGU ujue anaenda kukuroga [emoji24]KWA mujibu wa taarifa ya CEO wa Club ya Simba SC Imani Kajula Leo 02/11/2023 kwa vyombo vya habari, Club hiyo imeingia mkataba wa kibiashara na kampuni ya SBL watengenezaji wa pombe aina ya Serengeti! Ni mkataba wa sh 1.5 Bilioni Kwa miaka 3 ambapo itatoa fedha Kwa Simba kiasi cha shilingi 500 milioni kila mwaka.