aise
JF-Expert Member
- May 16, 2018
- 5,175
- 16,488
Mimi juzi nimeenda sehemu wanapojiuza wanawake nikaona pita pita za watu ni wengi, nikamfuata mama mmoja pale anauza vinywaji vikali, nikamwambia nahitaji kijisehemu anikodishie pale niweke nyama ya kitimoto, akajibu eti pale pamejaa waislamu kwahiyo kuweka kitimoto haitawezekana.
Nikasema kweli maisha bila unafiki hayaendi.
Nikasema kweli maisha bila unafiki hayaendi.