Mr passion
JF-Expert Member
- Nov 1, 2023
- 202
- 282
Waarabu wanatupa attention sana mwisho wa mwaka huu 🤒
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Acha kuchanganya habari ya vitabuni na vilivyoletwa kwenye majahazi na hali halisi ya kibiashara, Acha kabisa.KWA mujibu wa taarifa ya CEO wa Club ya Simba SC Imani Kajula Leo 02/11/2023 kwa vyombo vya habari, Club hiyo imeingia mkataba wa kibiashara na kampuni ya SBL watengenezaji wa pombe aina ya Serengeti! Ni mkataba wa sh 1.5 Bilioni Kwa miaka 3 ambapo itatoa fedha Kwa Simba kiasi cha shilingi 500 milioni kila mwaka.
Katika mkataba huo Kituo Cha Televisheni ya Azam inayomilikiwa na Bhakresa (muislamu) inayotangaza NBC Premium Legue italazimika kutangaza pombe ya Serengeti katika kila mchezo ndani ya ligi yetu.
Ikumbukwe kwa Imani ya Bakhresa makampuni yake ya media yamejitenga kisera kutangaza bidhaa kama pombe, sigara, michezo ya bahati nasibu na makatazo yote ya dini ya Kiislamu.
Swali je, Said Salim Bakhresa ameamua kukomunika yaishe alimradi "maokoto" yanaingia?
[emoji1787][emoji1787]Kwamba Azam ni msikiti?
Umemaliza kila kituHiyo m-bet (simba) parimatch (Geita, nk), sportpesa (namungo, singida)
Bank NBC kwa ligi kuu (Bank ambazo zina toza riba)
Hivyo sio ajabu kuona kuna vitu kama hivi vya Pombe
Pia dini ukiimeza kama ilivyo utakuta kuwa mpira ni haramu
Sio kweli, huwaoni kina Tido na Charles wewe hata darasani ulifeli ni lazima utakuwa yatimaKwa kuwa mali ni zake ana haki ya kufanya atakavyo, ila kwa SSB ukiwa Mkristo unakuwa kama yatima
Ni hao wachache wewe fuatilia vizuri mimi naifahamu vizuri BGOCs na uongozi wa kila dept.Sio kweli, huwaoni kina Tido na Charles wewe hata darasani ulifeli ni lazima utakuwa yatima
swe ndio choko, mwenzako kaleta hoja nzuri kujadiliwa we unaleta matusi, una akili?
Ina akili kumzidi mama yakowe ndio choko, mwenzako kaleta hoja nzuri kujadiliwa we unaleta matusi, una akili?
Vipi kuhusu SportPesa na M-betiKWA mujibu wa taarifa ya CEO wa Club ya Simba SC Imani Kajula Leo 02/11/2023 kwa vyombo vya habari, Club hiyo imeingia mkataba wa kibiashara na kampuni ya SBL watengenezaji wa pombe aina ya Serengeti! Ni mkataba wa sh 1.5 Bilioni Kwa miaka 3 ambapo itatoa fedha Kwa Simba kiasi cha shilingi 500 milioni kila mwaka.
Katika mkataba huo Kituo Cha Televisheni ya Azam inayomilikiwa na Bhakresa (muislamu) inayotangaza NBC Premium Legue italazimika kutangaza pombe ya Serengeti katika kila mchezo ndani ya ligi yetu.
Ikumbukwe kwa Imani ya Bakhresa makampuni yake ya media yamejitenga kisera kutangaza bidhaa kama pombe, sigara, michezo ya bahati nasibu na makatazo yote ya dini ya Kiislamu.
Swali je, Said Salim Bakhresa ameamua kukomunika yaishe alimradi "maokoto" yanaingia?
pumbavuSina s
Ina akili kumzidi mama yako
You kidding ur selfMzuka wanajamvi
Ni huyuhuyu Azam kuna mwaka flani alikataaa timu yake isishiriki mashindano ya Tusker eti ni haramu. Leo hii anakubali kutangaza pombe.
Hawa watu hulka na imani yao imejengeka kinafiki.
njiwa adriz Ritz (zombie boy) Alwaz incharge Adiosamigo incharge Jagina (chawi) FaizaFoxy (gagula)
Braza hizi mambo za udini udini ungezipotezea mazee sio miguu ya Mabaharia hii...Mzuka wanajamvi
Ni huyuhuyu Azam kuna mwaka flani alikataaa timu yake isishiriki mashindano ya Tusker eti ni haramu. Leo hii anakubali kutangaza pombe.
Hawa watu hulka na imani yao imejengeka kinafiki.
njiwa adriz Ritz (zombie boy) Alwaz incharge Adiosamigo incharge Jagina (chawi) FaizaFoxy (gagula)
Heshima kwako mkuu. Ushauri nimeupokea na nitaufanyia kazi.Braza hizi mambo za udini udini ungezipotezea mazee sio miguu ya Mabaharia hii...