TV ya Azam Sasa rasmi kutangaza pombe hadharani

Pombe sio kosa jamani. Dhambi zipo nyingi Sana. HV uzinzi na pombe ipi no shida japo vyote binatest nzuri
Wenzako waislamu huwa wanachagua dhambi,pombe na sigara wamezikomalia wakati dhambi nyingine kama uzinzi na wizi na kusema uongo wamevikumbatia,hii dini ni vituko vitupu
 
Bado Yeye binafsi hajaingia mkataba na kampuni ya pombe kwahiyo ataendelea kurusha natangazo kama vile alivyokua anarusha matangazo ya simba wakiwa na kampuni za kamari mbet na sport pesa
Chuki ikizidi sana na ukawa huna hela mwisho wa siku unafaulu kuwa mpumbavu hongera kwa kufaulu
 
Mbona Sportpesa anang'aa daily na mbet au mi ndio huwa sioni!?
 
Pombe ina shida gani,unaacha kulalamika vijana wanakula unga na ushoga
 
Wenzako waislamu huwa wanachagua dhambi,pombe na sigara wamezikomalia wakati dhambi nyingine kama uzinzi na wizi na kusema uongo wamevikumbatia,hii dini ni vituko vitupu
Katika uislam vyote ulivyotaja ni haram na vinakomaliwa haswa katika Quran uzinzi,wizi,kusema uongo,pombe kamari haya yote ni madhambi yanayokatazwa na kukemewa katika uislam

Kabla ya kucomment ili paswa ujiridhishe, muislam anaweza kufanya hayo madhambi yote lakini haimaanishi dini yake inamruhusu, dini inakataza hayo ni makosa yake binafsi na hata anapofanya dhambi hizo ndani ya moyo wake anajua kabisa anatenda dhambi na ni kinyume na uislam
 
KWA mujibu wa taarifa ya CEO wa Club ya Simba SC Imani Kajula Leo 02/11/2023 kwa vyombo vya habari, Club hiyo imeingia mkataba wa kibiashara na kampuni ya SBL watengenezaji wa pombe aina ya Serengeti! Ni mkataba wa sh 1.5 Bilioni Kwa miaka 3 ambapo itatoa fedha Kwa Simba kiasi cha shilingi 500 milioni kila mwaka.

Katika mkataba huo Kituo Cha Televisheni ya Azam inayomilikiwa na Bhakresa (muislamu) inayotangaza NBC Premium Legue italazimika kutangaza pombe ya Serengeti katika kila mchezo ndani ya ligi yetu.

Ikumbukwe kwa Imani ya Bakhresa makampuni yake ya media yamejitenga kisera kutangaza bidhaa kama pombe, sigara, michezo ya bahati nasibu na makatazo yote ya dini ya Kiislamu.

Swali je, Said Salim Bakhresa ameamua kukomunika yaishe alimradi "maokoto" yanaingia?
Mwandishi unafikiri M BET na SPORT PESA siyo michezo ya bahati nasibu! mbona AZAM wanatangaza hizo?
 
Sidhani kama ngumi imekatazwa na Quran japo Kuna kipindi kilipigwa stop Zanzibar kwenye uislamu 95%. Kwani wanaweza kunitangazia bucha yangu ya kitimoto?

Yeah wanaweza, Cha msingi pesa yako iwe nzuri. Mbona wanaonesha tamthilia zenye content za kishoga?. Ndio wakatae kutangaza kitimoto?. Wapelekee tangazo mkuu.
 
Bakhresa namkubali sana

Ila tunaposhwindana yule mwamba hata katika ajira Waislam anawapa kipaumbele kuliko watu wa imani nyingine
Mkuu hilo kundi ni katika marginalised groups, hata nyinyi mara nyingi mwawasimanga hapa kwamba walibase kwenye madrasa we huoni mlijaa sekta rasmi na mavyuoni huko punguza roho mbaya na choyo waache nao wale walau mishahara ya 1m
 
Kwa kuwa mali ni zake ana haki ya kufanya atakavyo, ila kwa SSB ukiwa Mkristo unakuwa kama yatima
 
KWA mujibu wa taarifa ya CEO wa Club ya Simba SC Imani Kajula Leo 02/11/2023 kwa vyombo vya habari, Club hiyo imeingia mkataba wa kibiashara na kampuni ya SBL watengenezaji wa pombe aina ya Serengeti! Ni mkataba wa sh 1.5 Bilioni Kwa miaka 3 ambapo itatoa fedha Kwa Simba kiasi cha shilingi 500 milioni kila mwaka.

Katika mkataba huo Kituo Cha Televisheni ya Azam inayomilikiwa na Bhakresa (muislamu) inayotangaza NBC Premium Legue italazimika kutangaza pombe ya Serengeti katika kila mchezo ndani ya ligi yetu.

Ikumbukwe kwa Imani ya Bakhresa makampuni yake ya media yamejitenga kisera kutangaza bidhaa kama pombe, sigara, michezo ya bahati nasibu na makatazo yote ya dini ya Kiislamu.

Swali je, Said Salim Bakhresa ameamua kukomunika yaishe alimradi "maokoto" yanaingia?
Wewe utakuwa umelewa pombe, hata hao sportpesa na M bet ni kamari na uislamu unakataa, haya tuambie huko Azam TV hao Yanga na Simba wakicheza wana geuza jezi?
 
Najaribu kuwaza hivi huyo Bakhresa angekuwa mbantu haya ya uislam safi yangekuwepo?kwanini mtu akiwa mwarabu huonekana ni mwislam safi?unaweza ukawa muislam safi na ukadhamini ngumi?msije mkawa mnauona uislam kama dini kumbe ni utamaduni tu.
 
Pombe sio kosa jamani. Dhambi zipo nyingi Sana. HV uzinzi na pombe ipi no shida japo vyote binatest nzuri
Mbona miundombinu mingi tu inagharamiwa na pesa za kodi toka makampuni ya bia k.m. matengenezo ya barbara lakini hakuna anayesusa kuitumia?!
 
KWA mujibu wa taarifa ya CEO wa Club ya Simba SC Imani Kajula Leo 02/11/2023 kwa vyombo vya habari, Club hiyo imeingia mkataba wa kibiashara na kampuni ya SBL watengenezaji wa pombe aina ya Serengeti! Ni mkataba wa sh 1.5 Bilioni Kwa miaka 3 ambapo itatoa fedha Kwa Simba kiasi cha shilingi 500 milioni kila mwaka.

Katika mkataba huo Kituo Cha Televisheni ya Azam inayomilikiwa na Bhakresa (muislamu) inayotangaza NBC Premium Legue italazimika kutangaza pombe ya Serengeti katika kila mchezo ndani ya ligi yetu.

Ikumbukwe kwa Imani ya Bakhresa makampuni yake ya media yamejitenga kisera kutangaza bidhaa kama pombe, sigara, michezo ya bahati nasibu na makatazo yote ya dini ya Kiislamu.

Swali je, Said Salim Bakhresa ameamua kukomunika yaishe alimradi "maokoto" yanaingia?
Anzisha media yako acha kumpangia cha kufanya masikini siku zote wana roho mbaya
 
Back
Top Bottom