TV ya Azam Sasa rasmi kutangaza pombe hadharani

KWA mujibu wa taarifa ya CEO wa Club ya Simba SC Imani Kajula Leo 02/11/2023 kwa vyombo vya habari, Club hiyo imeingia mkataba wa kibiashara na kampuni ya SBL watengenezaji wa pombe aina ya Serengeti! Ni mkataba wa sh 1.5 Bilioni Kwa miaka 3 ambapo itatoa fedha Kwa Simba kiasi cha shilingi 500 milioni kila mwaka.

Katika mkataba huo Kituo Cha Televisheni ya Azam inayomilikiwa na Bhakresa (muislamu) inayotangaza NBC Premium Legue italazimika kutangaza pombe ya Serengeti katika kila mchezo ndani ya ligi yetu.

Ikumbukwe kwa Imani ya Bakhresa makampuni yake ya media yamejitenga kisera kutangaza bidhaa kama pombe, sigara, michezo ya bahati nasibu na makatazo yote ya dini ya Kiislamu.

Swali je, Said Salim Bakhresa ameamua kukomunika yaishe alimradi "maokoto" yanaingia?
Wagalatia hamna jema kkenge nyie,akigomea mtasema mdini
 
Uyanga na usimba ndio unasumbua
 
Hiyo m-bet (simba) parimatch (Geita, nk), sportpesa (namungo, singida)

Bank NBC kwa ligi kuu (Bank ambazo zina toza riba)

Hivyo sio ajabu kuona kuna vitu kama hivi vya Pombe

Pia dini ukiimeza kama ilivyo utakuta kuwa mpira ni haramu
Dini inasema mpira Haram!?
 
KWA mujibu wa taarifa ya CEO wa Club ya Simba SC Imani Kajula Leo 02/11/2023 kwa vyombo vya habari, Club hiyo imeingia mkataba wa kibiashara na kampuni ya SBL watengenezaji wa pombe aina ya Serengeti! Ni mkataba wa sh 1.5 Bilioni Kwa miaka 3 ambapo itatoa fedha Kwa Simba kiasi cha shilingi 500 milioni kila mwaka.

Katika mkataba huo Kituo Cha Televisheni ya Azam inayomilikiwa na Bhakresa (muislamu) inayotangaza NBC Premium Legue italazimika kutangaza pombe ya Serengeti katika kila mchezo ndani ya ligi yetu.

Ikumbukwe kwa Imani ya Bakhresa makampuni yake ya media yamejitenga kisera kutangaza bidhaa kama pombe, sigara, michezo ya bahati nasibu na makatazo yote ya dini ya Kiislamu.

Swali je, Said Salim Bakhresa ameamua kukomunika yaishe alimradi "maokoto" yanaingia?
Acha kuwapangia watu namna gani ya kuingiza fedha, na wewe anzisha kampuni yako uweke katazo la hayo mambo.
 
Serikalini katika muswada wa Bima ya afya kwa wote imesema vyanzo vya mapato vitakuwa pombe sigara na betting unataka kusema waislamu wasitibiwe
 
KWA mujibu wa taarifa ya CEO wa Club ya Simba SC Imani Kajula Leo 02/11/2023 kwa vyombo vya habari, Club hiyo imeingia mkataba wa kibiashara na kampuni ya SBL watengenezaji wa pombe aina ya Serengeti! Ni mkataba wa sh 1.5 Bilioni Kwa miaka 3 ambapo itatoa fedha Kwa Simba kiasi cha shilingi 500 milioni kila mwaka.

Katika mkataba huo Kituo Cha Televisheni ya Azam inayomilikiwa na Bhakresa (muislamu) inayotangaza NBC Premium Legue italazimika kutangaza pombe ya Serengeti katika kila mchezo ndani ya ligi yetu.

Ikumbukwe kwa Imani ya Bakhresa makampuni yake ya media yamejitenga kisera kutangaza bidhaa kama pombe, sigara, michezo ya bahati nasibu na makatazo yote ya dini ya Kiislamu.

Swali je, Said Salim Bakhresa ameamua kukomunika yaishe alimradi "maokoto" yanaingia?
Lol kumbe Azam Tv ni ya kidini?
 
M-bet sio bahati nasibu? ITV haipo Azam?
 
Kwahiyo wanavyotutangazia ndondi ndio imani yake inataka?.
 
Back
Top Bottom