TV ya Azam Sasa rasmi kutangaza pombe hadharani

Mimi juzi nimeenda sehemu wanapojiuza wanawake nikaona pita pita za watu ni wengi, nikamfuata mama mmoja pale anauza vinywaji vikali, nikamwambia nahitaji kijisehemu anikodishie pale niweke nyama ya kitimoto, akajibu eti pale pamejaa waislamu kwahiyo kuweka kitimoto haitawezekana.
Nikasema kweli maisha bila unafiki hayaendi.
 
Afrika hawapendi furaha feki huduma mbovu kwa mgongo wa Dini tunakutenga. Kwanza Dini Afrika tunazuga tu bado tunaamini Babu zetu na Ibada za huko lazima pembe sasa komaa.na tabia za kiarabu uone matokeo yake.
 
hana mkataba wa direct na taasisi yoyote ya pombe swala la timu kudhaminiwa na pombe ni swala la simba ila yeye ana mkataba wake na tff ambayo mdhamini mkuu ni nbc hakuna kosa hapo kidini, karibu kwenye uislamu ujifunze mambo mazuri
 
Sisi hatunywi pombe kwenye sikirini tunazinywa kwenye viti virefu baa hivyo watangaze wasitangaze shauri yao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…