Twaha Kiduku amtwanga Alex Kabangu wa DRC, ashinda Mkanda wa UBO

Hilo pambano linapiganwa saa ngapi?
 
Marefa wa kibongo bado ni tatizo sana,
 
Huyu kabangu ni bondia dhaifu na wsmemleta kwa sababu uchezaji wake wanaujua ili kumpa maujiko kiduku
 
Sometime ni vizur kuona boxing za kike mana ni piga nikupige
 
Zawadi Kutaka lazima akae
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…