Twaha Kiduku amtwanga Alex Kabangu wa DRC, ashinda Mkanda wa UBO

Twaha Kiduku amtwanga Alex Kabangu wa DRC, ashinda Mkanda wa UBO

Huyu Mkongo anachoongoza ni ngumi za Tumbo na kisogo tu lakini Ngumi za points hamna kitu
 
Kwa matokeo haya majaji hawajakosea kabisa, Kiduku amestahili huu ushindi
 
Mkongo akaongeze Vumbi huko alidhani ngumi ni kukumbatia 🚮🚮🚮
 
Twaha ni mtu na nusu.
Ameifanya weekend leo imekuwa nzuri.

Leo kapigana kibabe sana. Alipata upinzani uliomletea changamoto nzuri na amezikabili changamoto hizo na kushinda kihalali kabisa.
 
Twaha ni bondia Mzuri sana anahitaji Couching tu kurekebisha baadhi ya Vitu.
Wabongo kuna kitu hatujui kwani?
Mfano wewe I am sure hujawahi hata kuigusa punching bag ila unatoa ushauri šŸ˜šŸ˜
 
Wabongo kuna kitu hatujui kwani?
Mfano wewe am sure hujawahi hata kuigusa punching bag ila unatoa ushauri šŸ˜šŸ˜

Hizi ni akili za Mwanakijiji kabisa kuamini huwezi kuwa Kiongozi wa Chama cha Mpira (TFF) mpaka uwe umecheza mpira wala huwezi kuwa CEO wa Timu ya mpira mpaka uwe umecheza mpira.
 
Huyu ndiye number one ajaye sio yule mdigo hatetei mkanda ndio nini sasa
 
Back
Top Bottom