Loftins
JF-Expert Member
- Oct 1, 2017
- 10,485
- 13,693
Inawezekana ila ili ufanikiwe lazima uwe unaufahamu sanaa.Hizi ni akili za Mwanakijiji kabisa kuamini huwezi kuwa Kiongozi wa Chama cha Mpira (TFF) mpaka uwe umecheza mpira
Unaweza kuwa CEO ila sio director wa ufundi do you get me?wala huwezi kuwa CEO wa Timu ya mpira mpaka uwe umecheza mpira.
Wewe hujapigana ngumi hata za mtaani nauhakika, gyms za mitaani ambako kuna punching bags za michanga wewe hujazipitia yani huna A wala B ya ngumi angalau hata mimi nina moja na sina uwezo wa kuwashauri hao jamaa kwa lolote
Ngumi sio mpira wa miguu Chief