Twaha Kiduku amtwanga Alex Kabangu wa DRC, ashinda Mkanda wa UBO

HIVI HUWA KUNA MAANA GANI KULIVUTA PAMBANO KUU MPAKA LATE NIGHTS...? MBONA WANAPOTEZA WATIZAMAJI HIVYO...
 
Kwa wapenzi wa mchezo wanaona huu ni muda wa kawaida kabisa, au umesahau enzi za mbabe Tyson tulikuwa tunasubiri hadi saa 11 alfajiri
 
Round ya 3 imekamilika, lakini mwishoni mwa round hii Twaha amefanya counter attack nzuri
 
Kwa wapenzi wa mchezo wanaona huu ni muda wa kawaida kabisa, au umesahau enzi za mbabe Tyson tulikuwa tunasubiri hadi saa 11 alfajiri
Ile ilikuwa na sababu ya muhimu kule kwao ilikuwa jioni na huku kwetu ilikuwa alfajiri. Na Hii ilitokana na utofauti wa majira baina ya nchi hizi mbili.

Kwa sisi hakuna sababu ya iuliweka pambano late night.. ni kukariri kusiko na sababu... Mimi nimeenda zangu kulala.

Wanapoteza mvuto. Pambano ilibidi liishe saa 4 usiku sio zaidi ya hapo.
 
Kwa sisi wapenzi wa mchezo wala hatujali hilo
 
Ile ilikuwa na sababu ya muhimu kule kwao ilikuwa jioni na huku kwetu ilikuwa alfajiri. Na Hii ilitokana na utofauti wa majira baina ya nchi hizi mbili.

Kwa sisi hakuna sababu ya iuliweka pambano late night.. ni kukariri kusiko na sababu... Mimi nimeenda zangu kulala.

Wanapoteza mvuto. Pambano ilibidi liishe saa 4 usiku sio zaidi ya hapo.
Hujielewi.

Mapambano ya leo ,90% yamechezwa rounds zote machacha mno yameisha kwa K.O.
 
Ile ilikuwa na sababu ya muhimu kule kwao ilikuwa jioni na huku kwetu ilikuwa alfajiri. Na Hii ilitokana na utofauti wa majira baina ya nchi hizi mbili.

Kwa sisi hakuna sababu ya iuliweka pambano late night.. ni kukariri kusiko na sababu... Mimi nimeenda zangu kulala.

Wanapoteza mvuto. Pambano ilibidi liishe saa 4 usiku sio zaidi ya hapo.
Kabisa wanapoteza watazamaji wengi sana
 
Kuna yule jamaa mwenye kipara alitia ufundi wa kukwepa akakuta na punch moja tu ya pua pale pale chalii[emoji2]dah alinichekesha mnoo
Tangu siku wanapima uzito mpinzani wake alisema "mimi sio muongeaji sana ila gloves ndio zitaongea" akatia na maneno ya kikurya kidogo pale.....na kilichotokea mmeona
 
Back
Top Bottom