Inawezekana ila ili ufanikiwe lazima uwe unaufahamu sanaa.Hizi ni akili za Mwanakijiji kabisa kuamini huwezi kuwa Kiongozi wa Chama cha Mpira (TFF) mpaka uwe umecheza mpira
Unaweza kuwa CEO ila sio director wa ufundi do you get me?wala huwezi kuwa CEO wa Timu ya mpira mpaka uwe umecheza mpira.
NJAAWanapigana kisa nini?
Umejuaje kama hapo sio chooni?Braza vigae vya chooni umeweka sebuleni? Kweli?
Na ndio maana mkipewa kuongoza mnafanya madudu km machangudoa wa Sugar Ray.Hizi ni akili za Mwanakijiji kabisa kuamini huwezi kuwa Kiongozi wa Chama cha Mpira (TFF) mpaka uwe umecheza mpira wala huwezi kuwa CEO wa Timu ya mpira mpaka uwe umecheza mpira.
Hajielewi kivipi? Kwani hayo mapambano mengine ilikuwa lazima yapiganwe siku ya jana? Kwa nini mapambano ya utangulizi yasiwe machache au yawahi zaidi ili kubalance muda?Hujielewi.
Mapambano ya leo ,90% yamechezwa rounds zote machacha mno yameisha kwa K.O.
Twaha ni Best kwa uzito wake..Na Mwakinyo ni Best kwa uzito wake.Huyu ndiye number one ajaye sio yule mdigo hatetei mkanda ndio nini sasa
Mmekariri vibaya ,Saa 11 alfajiri ya Tz kwa washington DC, USA ni saa 4 usiku. Fikiria ule muda wa mechi za world cup 2014 brazil TFF waige halafu waulete hapa, wafuatiliaji wa mpira watapungua sana.Kwa wapenzi wa mchezo wanaona huu ni muda wa kawaida kabisa, au umesahau enzi za mbabe Tyson tulikuwa tunasubiri hadi saa 11 alfajiri
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]NJAA
HawarembiSometime ni vizur kuona boxing za kike mana ni piga nikupige
Twaha hana ngumi nzito, sema ni sugu tu. Sijawahi kumwona twaha akimdondosha mtu kwa ngumi yake moja.
Ngumi kali kama zila za Bondia Katompa alizokuwa anamwagia Dullah Mbabe.