Twaha Kiduku aondoka na gari baada ya kumtwanga Dullah Mbabe

NOTED mkuu na Shukrani kwa ufafanuzi makini na wenye busara za hali ya juu. Ahsante sana.
 
Mi mwenyewe nimeshindwa kuelewa kama wewe,ngoja wataalam waje kutudadavulia,dulah kapigwa round zote ukiacha round ya kwanza aliyomuotea kiduku na akashindwa kumaliza mpambano kwa ugoigoi wake
Pointi za juu ni 10 kwa kila raundi kwa kila bondia

Bondia akiangushwa anapoteza pointi moja

Ikiwa bondia ametawala raundi nzima lakini akumuangusha mpinzani wake bado jaji anaweza akatoa maksi 10-8 (hii hutokea mara chache)

Ikiwa raundi ni sare jaji atampa kila bondia pointi 10
 
Bondia akiangushwa chini anapoteza pointi ngapi
 
Jamaa ananifurahisha kuonesha nidhamu ya hali ya juu kwenye michezo yake...
Msikiluze hapo kuhusu pambano lake na Mwakinyo kama atakubali...

Hivi uchawi upo hadi kwenye ndondi kweli?

Au akhy alijitetea tu alipohojiwa baada ya pambano kuhusu ile round ya kwanza?View attachment 1901395
Your browser is not able to display this video.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…