Heart Wood.
JF-Expert Member
- Nov 16, 2014
- 982
- 1,179
Tunaomba tuletewe orodha kamili ya Wagombea pamoja na Matokeo kamili ya waliochaguliwa ili tuzungumze kwa data. Mkileta hiyo orodha ya wagombea muwe wakweli muoneshe nani na yupi alikuwa akimuunga Mkono nani.Ile ni janja ya nyani.
Mbowe alitaka tu kutengeneza precedence
Wagombea waliojitokeza walikuwa 46 nafasi zinazotakiwa ni 8 tu, humo kwenye hizo 8 zipo nafasi za walemavu, sasa kwa mfano utoe mlemavu wa ngozi kama Barwan umuweke Twaha, utakuwa unavunja Katiba.Mkuu hakuna siri,hivi vitu vinafanywa na watu. Mnafanya(sijui kama na wewe umo) mambo ya kijinga sana zaidi hata ya upuuzi wa CCM kuengua wagombea.
😹😹😹Wagombea waliojitokeza walikuwa 46 nafasi zinazotakiwa ni 8 tu, humo kwenye hizo 8 zipo nafasi za walemavu, sasa kwa mfano utoe mlemavu wa ngozi kama Barwan umuweke Twaha, utakuwa unavunja Katiba.
Labda tupendekeze sasa nafasi hizi ziongezwe
Mbowe chupuchupu kukatwa?Mbowe hahusiki na jambo hili, hata yeye alisailiwa na chupuchupu kukatwa!
Watu wanaamini sana propaganda za mitandaoni ila walio field wanajua kinachoendelea.Hivi hamuelewi maana ya Usaili, kapigwa maswali magumu hadi akadhani sekretarieti ile siyo ya Chadema! Katolewa nje mara 2 ili ajadiliwe
Keshapiga kelele sana na mwenzake Pambalu, wamuache akawe mpiga debe kelele na fujo chadema hazihitajiki.Ujumbe wake huu hapa
View attachment 3207373
Binafsi Naunga Mkono jambo hili na Namtakia kila la heri
CHADEMA ya Mbowe ni ya kihuni na kikatili haswa, RIP CHADEMAUjumbe wake huu hapa
View attachment 3207373
Binafsi Naunga Mkono jambo hili na Namtakia kila la heri
Watu wanashindwa kujua kitu kimoja ,kama upo kwenye taasisi flani basi heshimu uongozi ,usipoheshimu uongozi lazima utaiona ngondoigwa ,rule numbre uno -Boss hakosei ,Rule numbre 2 -Boss akikosea refer rule numbre uno.Keshapiga kelele sana na mwenzake Pambalu, wamuache akawe mpiga debe kelele na fujo chadema hazihitajiki.
Akate rufaa yeye, alafu hao "wenzake" wanatoka wapi sasa?
Wabishi, utoto na ujuaji mwingi wa kijinga.Watu wanashindwa kujua kitu kimoja ,kama upo kwenye taasisi flani basi heshimu uongozi ,usipoheshimu uongozi lazima utaiona ngondoigwa ,rule numbre uno -Boss hakosei ,Rule numbre 2 -Boss akikosea refer rule numbre uno.
Wewe dada mbona unalopoka sana au hili bando unalotumia bwana wako kakupa kwa kukusimanga ?Akwende huko
Wanachukua siri za vikao wanawapa kina Msigwa alafu akibinywa kidogo anatoa yowe...
Aende akawe Mjumbe kamati kuu ya CH huko
Acha kuita wanaume wenzio dada..Wewe dada mbona unalopoka sana au hili bando unalotumia bwana wako kakupa kwa kukusimamnga ?
Koplo acha uboya ndio ulivyodanganywa kambini. Hiyo ni sawa na kutenda kosa au dhambi alafu usiambiwe kisa ni bosi, ofisini mambo hayaendi unanyuti kisa bosi.Watu wanashindwa kujua kitu kimoja ,kama upo kwenye taasisi flani basi heshimu uongozi ,usipoheshimu uongozi lazima utaiona ngondoigwa ,rule numbre uno -Boss hakosei ,Rule numbre 2 -Boss akikosea refer rule numbre uno.
Nidhamu ya kazi ni msingi wa mafanikio bora kazini ,viongozi na wafanyakazi lazima wote TUWE NA nidhamu ,migogoro na migongano makazini ni ukosefu wa NIDHAMU.Koplo acha uboya ndio ulivyodanganywa kambini. Hiyo ni sawa na kutenda kosa au dhambi alafu usiambiwe kisa ni bosi, ofisini mambo hayaendi unanyuti kisa bosi.
Mwambie akishupaza shingo ndio uachane nae.
Ujumbe wake huu hapa
View attachment 3207373
Binafsi Naunga Mkono jambo hili na Namtakia kila la heri
Ujumbe wake huu hapa
View attachment 3207373
Binafsi Naunga Mkono jambo hili na Namtakia kila la heri