Pre GE2025 Twaha Mwaipaya akata rufaa Baraza Kuu kupinga kuenguliwa kugombea Ujumbe wa Kamati Kuu

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Ile ni janja ya nyani.
Mbowe alitaka tu kutengeneza precedence
Tunaomba tuletewe orodha kamili ya Wagombea pamoja na Matokeo kamili ya waliochaguliwa ili tuzungumze kwa data. Mkileta hiyo orodha ya wagombea muwe wakweli muoneshe nani na yupi alikuwa akimuunga Mkono nani.
 
Mkuu hakuna siri,hivi vitu vinafanywa na watu. Mnafanya(sijui kama na wewe umo) mambo ya kijinga sana zaidi hata ya upuuzi wa CCM kuengua wagombea.
Wagombea waliojitokeza walikuwa 46 nafasi zinazotakiwa ni 8 tu, humo kwenye hizo 8 zipo nafasi za walemavu, sasa kwa mfano utoe mlemavu wa ngozi kama Barwan umuweke Twaha, utakuwa unavunja Katiba.

Labda tupendekeze sasa nafasi hizi ziongezwe
 
😹😹😹
 
Hivi hamuelewi maana ya Usaili, kapigwa maswali magumu hadi akadhani sekretarieti ile siyo ya Chadema! Katolewa nje mara 2 ili ajadiliwe
Watu wanaamini sana propaganda za mitandaoni ila walio field wanajua kinachoendelea.

Kina Mwabukusi na Bob Wangwe wanasambaza propaganda kwamba Mbowe ndiyo amewaondoa.
 
Keshapiga kelele sana na mwenzake Pambalu, wamuache akawe mpiga debe kelele na fujo chadema hazihitajiki.

Akate rufaa yeye, alafu hao "wenzake" wanatoka wapi sasa?
Watu wanashindwa kujua kitu kimoja ,kama upo kwenye taasisi flani basi heshimu uongozi ,usipoheshimu uongozi lazima utaiona ngondoigwa ,rule numbre uno -Boss hakosei ,Rule numbre 2 -Boss akikosea refer rule numbre uno.
 
Wabishi, utoto na ujuaji mwingi wa kijinga.
 
Akwende huko

Wanachukua siri za vikao wanawapa kina Msigwa alafu akibinywa kidogo anatoa yowe...

Aende akawe Mjumbe kamati kuu ya CH huko
Wewe dada mbona unalopoka sana au hili bando unalotumia bwana wako kakupa kwa kukusimanga ?
 
Watu wanashindwa kujua kitu kimoja ,kama upo kwenye taasisi flani basi heshimu uongozi ,usipoheshimu uongozi lazima utaiona ngondoigwa ,rule numbre uno -Boss hakosei ,Rule numbre 2 -Boss akikosea refer rule numbre uno.
Koplo acha uboya ndio ulivyodanganywa kambini. Hiyo ni sawa na kutenda kosa au dhambi alafu usiambiwe kisa ni bosi, ofisini mambo hayaendi unanyuti kisa bosi.

Mwambie akishupaza shingo ndio uachane nae.
 
Nidhamu ya kazi ni msingi wa mafanikio bora kazini ,viongozi na wafanyakazi lazima wote TUWE NA nidhamu ,migogoro na migongano makazini ni ukosefu wa NIDHAMU.

View: https://www.youtube.com/watch?v=4JpYv9zx0KA
 
Back
Top Bottom