Aiseeee inasikitisha sana ,walianza Maria ,wakaja Mushabaha na sasa Mwaipaya.🚨‼️ABDUCTION IN NAIROBI‼️
Twaha Mwaipaya - Tanzanian activist was abducted a short while ago in Makuru in a Toyota White HardTop by armed plain clothes men
Tulia fisi weweTutaigeuza Nairobi majivu
Watu wanatafuta engagement huko mitandaoni kumepoa mno hela imepotea ya nyumbu kufollowYa kweli au mnazua taharuki?
ok.🚨‼️ABDUCTION IN NAIROBI‼️
Twaha Mwaipaya - Tanzanian activist was abducted a short while ago in Makuru in a Toyota White HardTop by armed plain clothes men
UPDATE:
Vyanzo vya uhakika vimethibitisha kuwa Mwaipaya amechukuliwa na 'watu wasiojulikana' jijini Nairobi baada ya kuwa tracked kwa muda mrefu.
Taarifa kwa kina zinafuatia
Hapa tutawabana kenya🚨‼️ABDUCTION IN NAIROBI‼️
Twaha Mwaipaya - Tanzanian activist was abducted a short while ago in Makuru in a Toyota White HardTop by armed plain clothes men
UPDATE:
Vyanzo vya uhakika vimethibitisha kuwa Mwaipaya amechukuliwa na 'watu wasiojulikana' jijini Nairobi baada ya kuwa tracked kwa muda mrefu.
Taarifa kwa kina zinafuatia
Ila watu niliwaonya kuwa hapo Kenya sio salama hata kidogo kwa wanaharakati lakini baadhi ya mapimbi yakanibishia.Huyu Maza kweli amedhamiria kuwamaliza wapinzani wake!