Lucas Mwashambwa
JF-Expert Member
- Jul 28, 2022
- 40,476
- 26,173
Kakamatwe ikiwezekana kasionekane MileleHako lazima kakamatwe
Kakamatwe ikiwezekana kasionekane MileleHako lazima kakamatwe
Serikali ya Kenya nao ni wahuni walio changamka walishilikiana na Uganda kumteka Kiza Besije na kumrudisha Uganda mpaka sasa yupo anateseka jera.Wamepata somo Kwa kagame kule Uganda.
Wameoana ahaa kumbe inawezekana kuingia nchi nyingine kumsomea hukumu mtuhumiwa wetu.
Ila tujiulize, yana ulazima kufanya hayo?
Mimi nina hasira nao na siwezi kukaa kimya na kuna uwezekano kamejiteka au maisha yamekuwa magumu wanatafuta namna ya kupata pesawacha nikae kimya kwanza![]()
kwahiyo ndivyo anavyosema security officer wa Kenya hapo au umeamua kufyatuka tu gentleman?🐒Ndio siasa za ccm na MWENYEKITI wake zilipotufikisha.
Sasa Kuna haja gani ya kuwa na chama vya upinzani?
Kwanini msiifute chadema tukajua Moja kuwa haipo
Sijajua hawa wanaharakati wanafeli wapi? Mara zote watu wanasema yale yale lakini na wao hawajifunzi, Kiza Besigye alinyakuliwa mchana kweupe, Msabaha alinusurika, Maria naye, leo wamemdaka tena huyu.Ila watu niliwaonya kuwa hapo Kenya sio salama hata kidogo kwa wanaharakati lakini baadhi ya mapimbi yakanibishia.
Madhalimu hawajawahi kuwa na mwisho mzuri.kwahiyo ndivyo anavyosema security officer wa Kenya hapo au umeamua kufyatuka tu gentleman?🐒
KARMA IS REALSerikali ya Kenya nao ni wahuni walio changamka walishilikiana na Uganda kumteka Kiza Besije na kumrudisha Uganda mpaka sasa yupo anateseka jera.
hiyo ya Twaha huko Machakosi si director wa drama mwenyewe maria sarung ndio kafanya yake.Mimi nina hasira nao na siwezi kukaa kimya na kuna uwezekano kamejiteka au maisha yamekuwa magumu wanatafuta namna ya kupata pesa

Tangu mwanzo nilitia shaka sana swala la wanaharakati kuomba asylum kwenye nchi za Afrika Mashariki.Duh ! inasikitisha sana , Kagame's style inatumika mpaka nje
Sasa hivi Marekani na Ulaya hawapokei sana wakimbizi wa kisiasa, kama ni mwanaharakati itabidi upambane kivyako.Ila watu niliwaonya kuwa hapo Kenya sio salama hata kidogo kwa wanaharakati lakini baadhi ya mapimbi yakanibishia.
Afisa usalama huyo wa Kenya ameapa kudeal papendicularly na wahalifu wanafanya uhalifu Tanzania na kukimbilia Kenya sasa sijui itakuaje gentleman?Madhalimu hawajawahi kuwa na mwisho mzuri.
Yule aliyewatuma atalipwa,na wale waliotumwa watalipwa.
IPO SIKU

Na assistant director wa hii movie ni H.Newtonok.
I hope marry must be a script writer and the director of the drama 🐒
End.
Sasa hivi Marekani na Ulaya hawapokei sana wakimbizi wa kisiasa. Mambo yao ya uchumi na siasa huko ni magumu, harakati za Africa na kwingine sio kipaumbele tena kwao.Huwa najiuliza sana kwanini activists, wanafikiri au kuichukulia Kenya kama sehemu salama "safe haven"??
How safe is Kenya?
Serikali ya Tz ikiamuwa ina sehemu nyingi za kuibana serikali ya Kenya ikubali kuwasalimisha hao wanaharakati.Sijajua hawa wanaharakati wanafeli wapi? Mara zote watu wanasema yale yale lakini na wao hawajifunzi, Kiza Besigye alinyakuliwa mchana kweupe, Msabaha alinusurika, Maria naye, leo wamemdaka tena huyu.
Africa Mashariki siyo sehemu salama ya kuomba hifadhi ya kisiasa.
Na Canada je?Sasa hivi Marekani na Ulaya hawapokei tena wakimbizi wa kisiasa. Mambo yao ya uchumi na siasa huko ni magumu, harakati za Africa na kwingine sio kipaumbele tena kwao.
Ameshindwa kumlinda asitekwe.Daah🥶
Mungu akulinde Twaha dhidi ya hao waovu
KWaHIyO hAWA KEnge wako Africa...🚨‼️ABDUCTION IN NAIROBI‼️
Twaha Mwaipaya - Tanzanian activist was abducted a short while ago in Makuru in a Toyota White HardTop by armed plain clothes men
UPDATE:
Vyanzo vya uhakika vimethibitisha kuwa Mwaipaya amechukuliwa na 'watu wasiojulikana' jijini Nairobi baada ya kuwa tracked kwa muda mrefu.
Taarifa kwa kina zinafuatia