Lucas Mwashambwa
JF-Expert Member
- Jul 28, 2022
- 40,476
- 26,173
Njaa tu zinawasumbua na uvivu wa kufanya kazi . Nataka Hilda Newton akamatwe na kupewa mateso makali sanaKwanini hawaendi huko Ughaibuni? Au kupata asylum huko ni shida?
Njaa tu zinawasumbua na uvivu wa kufanya kazi . Nataka Hilda Newton akamatwe na kupewa mateso makali sanaKwanini hawaendi huko Ughaibuni? Au kupata asylum huko ni shida?
Waueni tu.ila siku yenu ipoAfisa usalama huyo wa Kenya ameapa kudeal papendicularly na wahalifu wanafanya uhalifu Tanzania na kukimbilia Kenya sasa sijui itakuaje gentleman?![]()
Hapo soon wanamnyakua Hilda Newton.Serikali ya Tz ikiamuwa ina sehemu nyingi za kuibana serikali ya Kenya ikubali kuwasalimisha hao wanaharakati.
andika tena nimeteka ulipwe na hao mabasha wako akina sheb..
Unatafuta attention kwa wanaume utabakwa utoe kinyesi popoma wewe. Upo dunia gani au unataka tuje chumbani kwako tumekuvalia kondomu tukupe taarifa kamili?Ukweli mpaka sasa hakuna iyo taarifa rasmi zaidi
ya radio 📻 mbao 😳
Twaha na wenzake waliokua wakihifadhiwa hotelini Nairobi na Maria, wanataka kwenda uhamishoni Ulaya, halafu hawana sifa wala sababu zenye mashiko kupata hifadhi huko Ulaya.Matapeli sana hao jamaa. Njaa imewaelemea wanataka kutengeneza sinema za kujipatia pesa
Kwa majibu wa Sheria gani wewe mfu wa akili ?Njaa tu zinawasumbua na uvivu wa kufanya kazi . Nataka Hilda Newton akamatwe na kupewa mateso makali sana
Nakuonea huruma sana! Bora ugawe tako kama Sufiani upewe hata cheo UVCCM kuliko njia uliyoichagua.Njaa tu zinawasumbua na uvivu wa kufanya kazi . Nataka Hilda Newton akamatwe na kupewa mateso makali sana
Sasa hivi Marekani na Ulaya hawapokei tena wakimbizi wa kisiasa. Mambo yao ya uchumi na siasa huko ni magumu, harakati za Africa na kwingine sio kipaumbele tena kwao.
Wakati wao ndio wamewatuma kwa kushirikiana na Ruto.Serikali ya Tanzania itoe tamko kwa Serikali ya Kenya ili raia wetu aachiliwe mara moja
Ilikuwa safe ila Ruto ndio kaharibu yule mjinga.Huwa najiuliza sana kwanini activists, wanafikiri au kuichukulia Kenya kama sehemu salama "safe haven"??
How safe is Kenya?
Kosa lake Nini ?Nairobi Sio Mbali.
njaa ndio itawaua gentleman 🐒Waueni tu.ila siku yenu ipo
Lumumba mmeshindwa kugeuza majivu hata sisimizi ndo mgeuze Nairobi? Nyumbu hovyo Sana.Mh Ruto Ruto Ruto nimekuita Mara 3
Tutaigeuza Nairobi majivu endeleeni tu kushirikiana na madicteta
Ilo ndio lilikuleta dar juzi ukitokea Zimbabwe ?
Endeleeni kuchochea moto mtakipata mnachokitaka.