econonist
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 25,522
- 40,795
Kwa Sasa labda Botswana.Hakuna nchi ingine Africa ambayo ni salama kwa activists kuliko hapo Kenya?
Kwa Sasa labda Botswana.Hakuna nchi ingine Africa ambayo ni salama kwa activists kuliko hapo Kenya?
Kuongea Nini? Kila mtu anajua Mwaipaya yupo Nairobi na ametafutwa muda mrefu. Leo ndio wamemkamata.Kuna yule jamaa mwenye kesi ya uhaini huenda kaanza kuongea
Bongo nako sio salama. Refer polepole, mdude na NchimbiKenya uganda sio salama tena ni bora ubaki tu tz.
Ilikuwa safe ila Ruto ndio kaharibu yule mjinga.
Cursed lice!ok.
I hope marry must be a script writer and the director of the drama 🐒
Yani unamtukana mtanzania mwenzako Nyumbu kisa tu hakubaliani na utekaji wa CCM?. Aiseeh!Lumumba mmeshindwa kugeuza majivu hata sisimizi ndo mgeuze Nairobi? Nyumbu hovyo Sana.
Africa Kusini ni salama zaidi kwa upande wa serikali yake ila kuna magenge mengi ya wahalifu yanayoweza kulipwa na kutumiwa kuwafikia wanaharakati wasio na uwezo wa kujiwekea walinzi binafsi muda wote.Hakuna nchi ingine Africa ambayo ni salama kwa activists kuliko hapo Kenya?
Africa kiujumla sio sehemu rafiki sana kwa wakosoaji majuzi kati kuna yule mdada Mcongomani aliekua anamkosoa Felix Tsichekedi alikuja Tanzania alivotua airport haraka sana Mamlaka za Tanzania zikawapa taarifa Congo haraka sana akawa deported.Serikali ya Tz ikiamuwa ina sehemu nyingi za kuibana serikali ya Kenya ikubali kuwasalimisha hao wanaharakati.
Hakuna unafuu hata kidogo jiulize kina Lema mbona hawarudipo? Kule nasikia nyama za watu ruksaCanada kuna unafuu kiasi lakini huyu waziri mkuu wao naye anachukua hatua za kupunguza uhamiaji wa kila aina kwa kiasi kikubwa.
Wanakera Sana, hapa nyumbani wameufyata eti watageuza Nairobi majivu.Yani unamtukana mtanzania mwenzako Nyumbu kisa tu hakubaliani na utekaji wa CCM?. Aiseeh!
Fuatilia taarifa za Kenya tangia ameingia madarakani. Hasa baada ya Ile Gen Z demonstration. Sema Kenya Wana Katiba Nzuri imewasaidia. Baada ya watu kupotea waliwapeleka IGP an Msaidizi wake mahakamani. Ndipo huo ujinga ukaisha. Ruto na Samiah ni mtu na pacha wake. Wakati wa Kibaki na uhuru huu ujinga wa kitekana haukuwepo, na kama uliokuwepo ni kidogo sana. Ila wakati wa Ruto mablogers wengi walitekwa na wengine kuawa.Kaharibu vipi? Hali ilikuwaje na sasa ikoje?
Nairobi ni posta..? au samora..Kuongea Nini? Kila mtu anajua Mwaipaya yupo Nairobi na ametafutwa muda mrefu. Leo ndio wamemkamata.
Yaani huyo jamaa kitendo alichofanya Kumuua Thadei Ole Mushi kwa kumuwekea Sumu kwenye Msosi ni mbaya sana ,atalipwa kwa kitendo alichofanya ,yaani wao kuua wanaona ni kawaida sana ,ona anafurahi kabisa Mwenzake Kutekwa wakati anajua kabisa anaenda kuuliwa.Naona unajianika kwa ufahari kabisa hii ilikua kandarasi yako ya ngapi baada ya Ole Mushi?
Hivi naomba niulize swali kama alilouliza Captain Tesha.
Kwamba hivi tangu mmeanza kuteka watu ukosoaji unazidi au unapungua na watu ndio wanazidi kusema au wanapunguza?
Nakuongeza na maswali yangu haya.
Na je mkiteka watu ndio kila nyumba inapata maji , umeme wa uhakika?
Mkiteka watu huduma za afya ndio zinakuwa bora ila kila kukicha tunasikia wabunge wanakimbilia India kuchekiwa.
Jitafakari.
sure,Cursed lice!
Ok. NimekuelewaWanakera Sana, hapa nyumbani wameufyata eti watageuza Nairobi majivu.
South Africa ni wale wale tu, kipindi flan Omar Al Basheer alikua anasakwa na ICC wakamzuia airport yao, aliwapiga mkwara kidogo tu jamaa akasepa.Africa Kusini ni salama zaidi kwa upande wa serikali yake ila kuna magenge mengi ya wahalifu yanayoweza kulipwa na kutumiwa kuwafikia wanaharakati wasio na uwezo wa kujiwekea walinzi binafsi muda wote.
Gentlemen mbona mnapenda kuibebesha serikali mizigo kwahiyo kila raia aliyepo nje anayetekwa katekwa na serikali? 🐒Itoe tamko wakati wao ndio wamemteka na huyu ni mtu mtanzania wa tatu kutekwa .
Twaha Mwaipaya hana mgogoro wowote na mamlaka za Kenya hivyo isitumike kama kichaka kwa watekaji wa CCM.
Or the bitch blondesure,
Mary S. is cursed 🐒
Nimesema wewe ni mlaaniwa tilatla.sure,
Mary S. is cursed 🐒
Hawakutakiwa hata kuhama nchi YaoKWaHIyO hAWA KEnge wako Africa...
They are stupid