Mpaji Mungu
JF-Expert Member
- Apr 24, 2023
- 17,613
- 56,787
Mushi hata hakua threat kiivo sijui kwanini waliamua kumuadhibu vibaya vile, jamaa aliumwa muda mrefu alijua sababu lakini alikua anakanusha mara kwa mara.Yaani huyo jamaa kitendo alichofanya Kumuua Thadei Ole Mushi kwa kumuwekea Sumu kwenye Msosi ni mbaya sana ,atalipwa kwa kitendo alichofanya ,yaani wao kuua wanaona ni kawaida sana ,ona anafurahi kabisa Mwenzake Kutekwa wakati anajua kabisa anaenda kuuliwa.