ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 83,659
- 90,151
🚨‼️ABDUCTION IN NAIROBI‼️
Twaha Mwaipaya - Tanzanian activist was abducted a short while ago in Makuru in a Toyota White HardTop by armed plain clothes men
UPDATE:
Vyanzo vya uhakika vimethibitisha kuwa Mwaipaya amechukuliwa na 'watu wasiojulikana' jijini Nairobi baada ya kuwa tracked kwa muda mrefu.
Taarifa kwa kina zinafuatia
ok.🐒
I find this amusing bro 🤣Is this real or Madrid?
Nina hamu ya kusikia Ka Hilda Newton kamenaswaok.🐒
Duh ! inasikitisha sana , Kagame's style inatumika mpaka njeHadi nje ya border sio safe
well done Kenya defense commetee for that security commitment against criminals from Tanzania 🐒
Akitoka shetani unaingia weweNitafurahi sana nikisikia Siku Kale Ka Hilda Newton kamekamatwa.
Hawana pa kwenda zaidi ya hapoHuwa najiuliza sana kwanini activists, wanafikiri au kuichukulia Kenya kama sehemu salama "safe haven"??
How safe is Kenya?
Hako lazima kakamatweNina hamu ya kusikia Ka Hilda Newton kamenaswa
wacha nikae kimya kwanzaNina hamu ya kusikia Ka Hilda Newton kamenaswa
Ndio siasa za ccm na MWENYEKITI wake zilipotufikisha.well done Kenya defense commetee for that security commitment against criminals from Tanzania 🐒