The Sunk Cost Fallacy
JF-Expert Member
- Dec 1, 2021
- 19,582
- 14,167
- Thread starter
- #21
Wanakoishi WatznTwaweza Huo utafiti mmeufanyia mbinguni au kwenye ofisi za matanga wenzenu?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wanakoishi WatznTwaweza Huo utafiti mmeufanyia mbinguni au kwenye ofisi za matanga wenzenu?
Wanakoishi Watzn,haujafanyika Twitter Wala JFLabda huo utafiti utakuwa umefanywa kwenye mashina na matawi ya CCM.
Wanaaminika kwenye tafiti za kijamiiSasa twaweza ndio nani?,na kwa nini unawaamini?
Kama tuzo zinapendwa,kwanini meneja wa trc aliyepinga tozo amefukuzwa kazi?
Yaani wewe unaamini huo utafiti wa mchongo,
Kama wabongo walipinga tozo za simu,sasa tozo zimeongezeka ndio wabongo wazipende!kwa maisha gsni mazuri!!
Sasa nimeelewa kwa nini Maghu alimshughurikia eyakuze mpaka akashika adabu,Bora angempoteza tu
Wewe kwa vile unaishi Kwa dada yako ni kula kulala ndiyo maana unashabikia huu upuuzi. Kiuno cha dada yako ndiyo kinakuweka mjini,laiti ungejua hata bei ya sukari usingejidhalilisha kutwa nzima kushabikia uovu huu.Sidhani maana tozo ni chanzo rasmi cha mapato ya serikali na wao wanafahamu kwamba tozo ndio inaenda Tarura, RUWASA,kujenga madarasa na vituo vya afya..
Umewasikia siku hizi walisema kwenye majimbo Yao barabara ni shida?
Tumieni tawi lenu na nyie mje na utafiti wenu 😄😄Twaweza tawi la CCM toka longi kitambo sana.
Sawa tuu ila ndio Twaweza wameleta Maoni ya Watzn 67 out of 100Wewe kwa vile unaishi Kwa dada yako ni kula kulala ndiyo maana unashabikia huu upuuzi. Kiuno cha dada yako ndiyo kinakuweka mjini,laiti ungejua hata bei ya sukari usingejidhalilisha kutwa nzima kushabikia uovu huu.
Mapovu wapelekew Twaweza tafadharimagenge ya utafiti fake kama yale yaliyomdanganya Raila Odinga Kule kenya matokeo yake amejikuta anaandaa fuso la makataras kwenda mahakamani kupinga uchaguz kuwa ameibiwa kura huku prayer zake badala ya kuomba mahakama imtangaze mshindi yeye anaomba uchaguz utenguliwe na waende runoff hahahaa twaweza bhana.
Ni Twaweza sio Lumumba.labda maon ya lumumba walamba asali.
Umewahi kukuta mtaani hakuna magari? Mnaporopoka muwe mnafikiria basi.
Tumieni tawi lenu mkafanyie utafiti Ufipa,mapovu yote yaelekezwe Twawezahatuna mda wa kutumia wajinga maana sis sio wajinga wanaotumia hayo magenge fake ni wale wajinga.
Sawa. Kama ni kweli usizifute mpka T25 tuone kama kweli 67 % wamezibariki ..... Maana JF na Tweeter wao siyo Watanzania.Wanakoishi Watzn,haujafanyika Twitter Wala JF
Nendeni mkagombee mbinguni kwenye Malaika ila hapa Tzn mtaishia kuwa walalamishi hadi kaburini na watu watawapuuza.narudia tena chadema haina muda wa kutumia wajingawajinga maana hao hutumiwa na walamba asali wa ccm na mazezeta yao mitandaon.
Hakuna tozo itakayofutwa we jamaa,hiyo 2025 Wala sio mbali ni keshokuwa tuu hapo.Sawa. Kama ni kweli usizifute mpka T25 tuone kama kweli 67 % wamezibariki ..... Maana JF na Tweeter wao siyo Watanzania.
Tozo inaweza isifutwe lakini tozo inaweza kuifuta CCM .Hakuna tozo itakayofutwa we jamaa,hiyo 2025 Wala sio mbali ni keshokuwa tuu hapo.
Huna haja ya kutaka tafiti kwa huyo mdau hapo juu. Tafiti ifanyie hapa hapa kwenye uzi wako! See reactions za wadau ndo utajua umeleta upumbavu humuTupe utafiti wako basi maana naona unaleta mapovu ya kindezi Kisa matokeo yameenda against your favour.