TWAWEZA: Asilimia 67 ya watanzania wanakubali kwamba tozo ni njia muhimu ya serikali kupata mapato

TWAWEZA: Asilimia 67 ya watanzania wanakubali kwamba tozo ni njia muhimu ya serikali kupata mapato

Sasa twaweza ndio nani?,na kwa nini unawaamini?
Kama tuzo zinapendwa,kwanini meneja wa trc aliyepinga tozo amefukuzwa kazi?
Yaani wewe unaamini huo utafiti wa mchongo,
Kama wabongo walipinga tozo za simu,sasa tozo zimeongezeka ndio wabongo wazipende!kwa maisha gsni mazuri!!
Sasa nimeelewa kwa nini Maghu alimshughurikia eyakuze mpaka akashika adabu,Bora angempoteza tu
Wanaaminika kwenye tafiti za kijamii
 
Sidhani maana tozo ni chanzo rasmi cha mapato ya serikali na wao wanafahamu kwamba tozo ndio inaenda Tarura, RUWASA,kujenga madarasa na vituo vya afya..

Umewasikia siku hizi walisema kwenye majimbo Yao barabara ni shida?
Wewe kwa vile unaishi Kwa dada yako ni kula kulala ndiyo maana unashabikia huu upuuzi. Kiuno cha dada yako ndiyo kinakuweka mjini,laiti ungejua hata bei ya sukari usingejidhalilisha kutwa nzima kushabikia uovu huu.
 
Wewe kwa vile unaishi Kwa dada yako ni kula kulala ndiyo maana unashabikia huu upuuzi. Kiuno cha dada yako ndiyo kinakuweka mjini,laiti ungejua hata bei ya sukari usingejidhalilisha kutwa nzima kushabikia uovu huu.
Sawa tuu ila ndio Twaweza wameleta Maoni ya Watzn 67 out of 100
 
magenge ya utafiti fake kama yale yaliyomdanganya Raila Odinga Kule kenya matokeo yake amejikuta anaandaa fuso la makataras kwenda mahakamani kupinga uchaguz kuwa ameibiwa kura huku prayer zake badala ya kuomba mahakama imtangaze mshindi yeye anaomba uchaguz utenguliwe na waende runoff hahahaa twaweza bhana.
Mapovu wapelekew Twaweza tafadhari
 
Umewahi kukuta mtaani hakuna magari? Mnaporopoka muwe mnafikiria basi.

Kwenye familia yenu wangapi mna magari?
Basi chukueni tozo Kwa wenye magari

Watu wanalalamika tozo zimekuwa juu
Na wahusika wanaacha taarifa zina hang tu

Hakuna mtu anakuja na kutoa maelezo
 
Hii njemba inalipwa sio bure wakuu. Kweli mtu na akili yake timamu anaweza kuja kutetea hawa wapuuzi bila kuchoka?? Sio bure
 
narudia tena chadema haina muda wa kutumia wajingawajinga maana hao hutumiwa na walamba asali wa ccm na mazezeta yao mitandaon.
Nendeni mkagombee mbinguni kwenye Malaika ila hapa Tzn mtaishia kuwa walalamishi hadi kaburini na watu watawapuuza.
 
Kuna watu ukikaa ukiwafikiria unaweza kudhani sio wa Tz. Yaani mtu kakaa kabisa kaja na uzi wa kikuda namna hii. Hata kama unalipwa kwa propaganda za namna hii ila kuna ka laana flani hivi unajichumia bila kujua.
 
1661434085404.png

Mkurugenzi wa tozo na Twaweza ni ndugu
 
Back
Top Bottom