TWAWEZA: Asilimia 67 ya watanzania wanakubali kwamba tozo ni njia muhimu ya serikali kupata mapato

Huna haja ya kutaka tafiti kwa huyo mdau hapo juu. Tafiti ifanyie hapa hapa kwenye uzi wako! See reactions za wadau ndo utajua umeleta upumbavu humu
Ufanye utafiti humu ambapo kila mgombea wa upinzani huwa anaongoza kwa mafuriko harafu ukija mtaani anaambulia Kipigo cha mbwa mwizi?

Hili ninjukwaa la wapinzani unategemea nini? Watasapoti ajenda zao.
 
Ufanye utafiti humu ambapo kila mgombea wa upinzani huwa anaongoza kwa mafuriko harafu ukija mtaani anaambulia Kipigo cha mbwa mwizi?

Hili ninjukwaa la wapinzani unategemea nini? Watasapoti ajenda zao.
Jukwaa la wapinzani wewe umefuata nini na uchawa wako wa kiccm?
 
Kiti cha moto sana. Watafurukuta kupambana na ukweli ila haitawezekana.

Kama tulivyopata uhuru kwa amani, na kwa amani hiyo hiyo tutapata ukombozi wa pili.
 
Hii Twaweza ni ile ya profesali wa katiba? Kama ni ya yule sishangai.
 
Ningekuwa nauwezo ningemwambia mungu awashushie gharika kubwa hao waongo wakubwa iliwaione shida tunayopata kunawatu niwakulima vijijini wanalima kwashida umande wake miba yake mvua najua na njaa pia vyake alafu anataka kumtumia mtoto shuleni pesa afurahie kutoa tozp yapesa ambayo ameipata kwa shida hawa wapuuzwe kabisa katika kitu ambacho serekali itakwenda pata tabu mbeleni nahiki nikimojawapo twaonhgo mtukome kama mlivyo koma mmemuhoji nani.
 
Sidhani maana tozo ni chanzo rasmi cha mapato ya serikali na wao wanafahamu kwamba tozo ndio inaenda Tarura, RUWASA,kujenga madarasa na vituo vya afya..

Umewasikia siku hizi walisema kwenye majimbo Yao barabara ni shida?
Unaliwa na mashetani wewe.
Tutolee huu utumbo hapa. Mnapika data mnawqsingizia Twaweza.
Autawakamata wapuuzi wenzako hapa sio wanaume wenye akili zao.

Ulichoweka hapa sio utafiti wa Twaweza bali wakwako na MATAGA wenzako. Kafie mbele huko.
 
One philosopher said:
"Democracy in Africa is like having a meeting between two wolves and a sheep,discussing what to have for a dinner".
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…