TWAWEZA: Asilimia 67 ya watanzania wanakubali kwamba tozo ni njia muhimu ya serikali kupata mapato

TWAWEZA: Asilimia 67 ya watanzania wanakubali kwamba tozo ni njia muhimu ya serikali kupata mapato

Huna haja ya kutaka tafiti kwa huyo mdau hapo juu. Tafiti ifanyie hapa hapa kwenye uzi wako! See reactions za wadau ndo utajua umeleta upumbavu humu
Ufanye utafiti humu ambapo kila mgombea wa upinzani huwa anaongoza kwa mafuriko harafu ukija mtaani anaambulia Kipigo cha mbwa mwizi?

Hili ninjukwaa la wapinzani unategemea nini? Watasapoti ajenda zao.
 
Ufanye utafiti humu ambapo kila mgombea wa upinzani huwa anaongoza kwa mafuriko harafu ukija mtaani anaambulia Kipigo cha mbwa mwizi?

Hili ninjukwaa la wapinzani unategemea nini? Watasapoti ajenda zao.
Jukwaa la wapinzani wewe umefuata nini na uchawa wako wa kiccm?
 
Kiti cha moto sana. Watafurukuta kupambana na ukweli ila haitawezekana.

Kama tulivyopata uhuru kwa amani, na kwa amani hiyo hiyo tutapata ukombozi wa pili.
 
Aina ya watu kama wewe ndiyo aliowaita wapumbavu na hajakosea.
Tukutane 2025 historia imetunza .

Wapumbavu ni nyie mnaolalama mitandaoni ila walio serious wako barabarani.👇
 

Attachments

  • Screenshot_20220825-080131.png
    Screenshot_20220825-080131.png
    294 KB · Views: 4
Kwa mujibu wa utafiti wa TWAWEZA asilimia 67% ya Watanzania wako tayari Kulipa tozo Kwa sababu wanatambua ni muhimu kwa maendeleo ya Nchi..

Kwa matokeo haya ni wazi Waziri Mwigulu na Serikali inazidi kuwaumbua Chadema ambao kila siku ni kudandia hoja na kupotosha 😂😂.

Chadema Kazi mnayo,Tafuteni hoja za kwenda nazo kwenye uchaguzi 👇

=============

Maoni ya wananchi kuhusu tozo za miamala ya pesa kwa njia ya simu yanatofautiana. Wananchi walio wengi wanakubali kwamba tozo hizo ni njia muhimu ya serikali kupata mapato (asilimia 67) na kwamba inahakikisha kuwa kila mtu anachangia maendeleo ya taifa (63%). Hata hivyo, wachache wanakubali kwamba tozo hizo zitapunguza utegemezi kwa wafadhili (46%) au kwamba kodi kwenye miamala ya pesa kupitia simu ni jambo zuri (43%).

Wananchi wanaonesha dalili kwamba wangeunga mkono zaidi tozo hizo iwapo wangekuwa na taarifa kamili za namna mapato yanayopatikana yanavyotumika. Wengi (63%) wanasema wangekuwa tayari zaidi kulipa ushuru kama wangefuatilia jinsi fedha zinavyotumika. Wachache wanasema wanajua jinsi fedha hizo zinavyotumika (39%) au wanaweza kujua kwa urahisi kutoka serikalini matumizi ya fedha zilizokusanywa (44%).

Walio wengi pia walikubaliana na pendekezo kwamba tozo yenyewe siyo tatizo bali gharama za miamala zinazotozwa na watoa huduma (66%) na kwamba tozo hiyo inapaswa kutumika tu kwa miamala mikubwa (52%). Miongoni mwa wale wanaokubali kwamba tozo hiyo ni njia muhimu ya kuongeza mapato kwa serikali wanasema viwango vya kodi hiyo ni kubwa (26%) kuliko wale ambao hawakubali (11%).

Hii Twaweza ni ile ya profesali wa katiba? Kama ni ya yule sishangai.
 
Ningekuwa nauwezo ningemwambia mungu awashushie gharika kubwa hao waongo wakubwa iliwaione shida tunayopata kunawatu niwakulima vijijini wanalima kwashida umande wake miba yake mvua najua na njaa pia vyake alafu anataka kumtumia mtoto shuleni pesa afurahie kutoa tozp yapesa ambayo ameipata kwa shida hawa wapuuzwe kabisa katika kitu ambacho serekali itakwenda pata tabu mbeleni nahiki nikimojawapo twaonhgo mtukome kama mlivyo koma mmemuhoji nani.
 
Sidhani maana tozo ni chanzo rasmi cha mapato ya serikali na wao wanafahamu kwamba tozo ndio inaenda Tarura, RUWASA,kujenga madarasa na vituo vya afya..

Umewasikia siku hizi walisema kwenye majimbo Yao barabara ni shida?
Unaliwa na mashetani wewe.
Tutolee huu utumbo hapa. Mnapika data mnawqsingizia Twaweza.
Autawakamata wapuuzi wenzako hapa sio wanaume wenye akili zao.

Ulichoweka hapa sio utafiti wa Twaweza bali wakwako na MATAGA wenzako. Kafie mbele huko.
 
One philosopher said:
"Democracy in Africa is like having a meeting between two wolves and a sheep,discussing what to have for a dinner".
 
Back
Top Bottom