Nimesoma ndiyo maana nimekujibu kuwa umeongelea ujinga ujinga tuu,,,Kuna watu wengine wanaandika hoja na inajadiliwa vizuri ila siyo hii uliyoandika wewe, umeandika Kama kavulana Tena kaliko barehe juzi juzi tu na kanakaa kwa shemejiPersonal attack hazijawahi kuwa hoja wala mkombozi katika mdahalo!Sana sana utaonekana umepanic!
Umenichekesha Sana usiyemjuwa utapata tabu bure,, kwa ulopakaji wako naweza sema life nililonalo nahisi hata baba yako Hana na utakuwa umezaliwa familia duni ndiyo maana unaona Kama umewin maisha kumbe wala ni kutoka familia duni tuuNdio nasema,usidhani kufeli kwako kimaisha basi kila mtu yuko hivyo!Utapata stress buree!
Sio mbaya kujifariji,pambana na hali yako!Umenichekesha Sana usiyemjuwa utapata tabu bure,, kwa ulopakaji wako naweza sema life nililonalo nahisi hata baba yako Hana na utakuwa umezaliwa familia duni ndiyo maana unaona Kama umewin maisha kumbe wala ni kutoka familia duni tuu
Hayo mambo ya kukaa kwa shemeji huwa naona humu JF baadhi ya watu wakishambulia wengine,hua nawaona wapuuzi na walioishiwa hoja!Kuanza kmtambia mtu usiyemjua ni uwendawazimu!Grow up,pathetic idiot!Nimesoma ndiyo maana nimekujibu kuwa umeongelea ujinga ujinga tuu,,,Kuna watu wengine wanaandika hoja na inajadiliwa vizuri ila siyo hii uliyoandika wewe, umeandika Kama kavulana Tena kaliko barehe juzi juzi tu na kanakaa kwa shemeji
Usiwe mjinga kiasi hiki!Mkuu akina Mbowe wamekulia ikulu is not like you uliyeanza kuvaa viatu baada ya kuja Dar.
Hawa dawa yao ni kumuengua Lissu maana ndio wanachotaka.Mhe. Mbowe anatishia amani ya nchi yetu kwa maslahi yake ya kisiasa kiongozi kuongea neno lolote linaloashiria vurugu na kuvunja amani, huo ni uchochezi.
Mhe. Mbowe leo katumia Ukurasa wake wa Twitter kuandika Maneno ambayo yanaashiria kuhamasisha vurugu na kuitishia Tume ya Taifa ya uchaguzi na kuonyesha nia ya dhati ya kutaka kuingilia mamlaka yao.
Kama siku zote CHADEMA mmekuwa wahubiri wa kutaka watu waheshimu Mamlaka na sheria za nchi basi nyie mnatakiwa muwe mfano. Kwanini mnakuwa na wasiwasi sana juu ya Mgombea wenu?
Kwanini Mgombea wenu aheshimu sheria na Utaratibu uliopangwa kwanini mgombea wenu aheshimu Mahakama.
Binafsi iliniudhi sana kuwaona CHADEMA mnamsapoti Tundu Lissu hata pale alipoitwa na Mahakama na kushindwa kuhudhuria kwa kudai kajiweka karantini halafu akaja kuonekana kwenye mikutano na baadhi ya Maandamano.
Mbowe msiichezee Tanzania kama kweli mnajua hamjavunja sheria kwanini mnakuwa na wasiwasi?
Tume ya uchaguzi kama itamkata Lissu lazima itoe sababu so kabla CHADEMA hamjafanya maamuzi itabidi muipime hiyo sababu na mjiulize, je kaonewa ama la.
Msitutishe nchi hii ni kubwa kuliko CHADEMA na CCM pia uchaguzi sio baina ya CCM na CHADEMA tu bali kuna vyama kibao so CHADEMA mkijitoa uchaguzi bado utakuwepo tena kwa nguvu ile ile.
====
Watanzania wenzangu, tuna masaa 24 kwa NEC kuweka Msingi wa Amani ya Tanzania. Mkakati wowote wa kuengua kwa hila wagombea wetu utapokelewa kwa kishindo kikubwa. #NoLissuNoElection!#SasaBasi! Uzalendo uonyeshwe kwa kusimamia haki na si vinginevyo.
View attachment 1547347
Kuna kosa walilofanya, kwa bahati mbaya halikuwa mkakati wao umebuma. Wamebaki kutapatapa na kubwekea mitandaoni. Isha kula kwaoHivi kwani kuna mtu kasema watamkata Lissu?
Mbona hawa kina Mbowe wanajishtukia sana?
Chadema wana taarifa zote za vikao vya Siri anavyofanya jaji kaijage na IGP, Lipumba, Shibuda, polepole na viongozi wengine wa CCM, wanajua sinema zote zinavyoandaliwa kumhujumu Tundu lisu kuwadhoofisha chadema na kuua upinzani kwa ujumlaHivi kwani kuna mtu kasema watamkata Lissu?
Mbona hawa kina Mbowe wanajishtukia sana?
Wewe ndiyo mpuuzi kwa Duwa zako za kichawi acha roho mbaya Lisu akienguliwa utapata nini? au CCM watakulea kukulipia mfanyakazi wa kukufulia nguo mpaka siku unakufa ? watu gani wametishwa? CCM ndiyo chanzo cha vurugu kwa njama zao za kuitokomeza chadema acheni ushetaniHawa dawa yao ni kumuengua Lissu maana ndio wanachotaka.
Asipoondolewa watasema wameogopa bora hata aondolewe hata kwa uonevu.
Ili iwe funzo kwa makauli yao ya kipuuzi kutiisha tiisha watu tu.
Sio roho mbaya, nyie mnataka shari.Wewe ndiyo mpuuzi kwa Duwa zako za kichawi acha roho mbaya Lisu akienguliwa utapata nini? au CCM watakulea kukulipia mfanyakazi wa kukufulia nguo mpaka siku unakufa ? watu gani wametishwa? CCM ndiyo chanzo cha vurugu kwa njama zao za kuitokomeza chadema acheni ushetani
Binafsi ninaamini mnawahujumu maana hayo mapanga wanayokatwa watu wao yanatoka wapi?Wanajua wanacho kifanya, wanajua kabisa wamefanya makosa ambayo yanaweza kutumika kuwaondoa kwenye uchaguzi. Hapo wanajihami ili hata wakikatwa kwa makosa yao basi jamii iamini kuwa wanaonewa. Yani wanataka kutuaminisha kwamba maana halisi ya Tume kutenda haki ni lazima wao wapite tu hata Kama wanatenda makosa lakini yasiangaliwe badala yake wapitishe tu lakini kinyume na hapo basi Tume haitendi haki.
Wajue tu kuwa Tume haitoi maamuzi kwasababu ya hivyo vitisho vyao kuvuruga amani asiye fuata utaratibu lazima aadhibiwe.
Wewe ndiyo unatapatapa mitandaoni kwa kutengeneza makosa feki huku ukiona waliokushitukia wanabweka kumbe wanakuambia ukweli, haijakula kwa mtu itakula kwenu nyinyi mwenye mipango ya kishetani hakuna mabaya yasiyo na mwisho, walikuwepo akina Abacha, mabutu, Elbashiri, Iddy Amin dada, chiluba, Bokasa, Gadafi, Sadam Hussein wapo wapi sasa?Kuna kosa walilofanya, kwa bahati mbaya halikuwa mkakati wao umebuma. Wamebaki kutapatapa na kubwekea mitandaoni. Isha kula kwao
CCM ya sasa ni CCM penda kesi kesi imekuwa CCM ya wambeya kila neno wakisikia toka chadema hulibatiza ni uchochezi ili wapate kisingizio cha kuwabambikia kesi.Umeandika porojo nyingi halafu hujaweka hayo maneno unayoita ya uchochezi huoni kua wewe hapa ndio mchochezi.
Wewe ni kipofu unayeongozwa na chongo.Hivi kwani kuna mtu kasema watamkata Lissu?
Mbona hawa kina Mbowe wanajishtukia sana?