Uchaguzi 2020 Tweet ya Mbowe tayari ni uchochezi, Vyombo vya Dola vimshuhulikie

Tena Mbowe anatakiwa atoe tu maelekezo maana udhalimu wenu CCM umefika kikomo. Kwa mlivhofanya Tunduma cha kuwakatama wagombea udiwani wa Chadema na kuwashtaki kwa ujambazi ili wasirudishe fomu zao ni udhalimu wa kiwango cha juu kabisa ambao haupaswi kuvumiliwa popote pale.

Watanzania tumewachoka CCM na kwa sasa Tuko tayari kwa lolote dhidi ya CCM.

Lazima mkimbie ofisi za Serikali mwaka huu na tunaanza na tunduma
Hapa ndipo mnapokosea wabongo yaani changamoto za maisha yako unasubiri mtu akuamrishe ili uoambane nazo??? Ndo wanasiasa wanawaona wabongo ni wapumbavu wanaamua kupigania maslai yao binafsi
 
Usiwe mjinga kiasi hiki!

Ikulu gani aliyokulia Mbowe?

Nmekuuliza kuna mtu kasema atamkata Lisu kwa kosa lipi?

Kwanini Mbowe wanajishtukia sana? Kwani Lisu kuna kosa amefanya litasababisha tume kumkata?

Sasa badala ya kuja na jibu unakuja na kihoja
Kama hujanielewa hapo juu Sina Cha kukusaidia
 
Hapa ndipo mnapokosea wabongo yaani changamoto za maisha yako unasubiri mtu akuamrishe ili uoambane nazo??? Ndo wanasiasa wanawaona wabongo ni wapumbavu wanaamua kupigania maslai yao binafsi
Siasa ni sehemu ya maisha ya watu Duniani kote ni vigumu kuikwepa na endapo kila mmoja akiamua kufanya yake hakutakuwa na kampeni hakutakuwa na uchaguzi kwani kila mtu atakuwa kwake akifanya shughuri zake, kuwa na changamoto za maisha siyo kigezo cha kukataa kukemea uonevu uovu wa CCM.
 
Wavuta Bangi waliokula gheto kwa cyprian Musiba sasa wapo mitandaoni tujiandae kukabiliana na utetezi wao unaofanana baada ya kukaririshwa upumbavu mwingi mno toka kichwani mwa Kubwa jinga Le mutuz na cyprian Musiba mwenyewe.
 
Nnachomaanisha ndugu yangu, watanzania wameshindwa kujipigania ndio Mana wanasiasa wanashindwa kuvumilia mateso kutoka chama tawala wanajiunga nao watetee maisha na maslai yao.
 
Ni kelele wanapiga achaneni nao.
Magufuli namkubali sana,mzee wa IQ kubwa,anawazoom tu hahaa,kubishana na cdm ni kupoteza time.
State house anarudi saa 12 asubuhi.
Tano tena.
 
Mhe. Mbowe anatishia amani ya nchi yetu kwa maslahi yake ya kisiasa kiongozi kuongea neno lolote linaloashiria vurugu na kuvunja amani, huo ni uchochezi.

Mhe. Mbowe leo katumia Ukurasa wake wa Twitter kuandika Maneno ambayo yanaashiria kuhamasisha vurugu na kuitishia Tume ya Taifa ya uchaguzi na kuonyesha nia ya dhati ya kutaka kuingilia mamlaka yao.

Kama siku zote CHADEMA mmekuwa wahubiri wa kutaka watu waheshimu Mamlaka na sheria za nchi basi nyie mnatakiwa muwe mfano. Kwanini mnakuwa na wasiwasi sana juu ya Mgombea wenu?

Kwanini Mgombea wenu aheshimu sheria na Utaratibu uliopangwa kwanini mgombea wenu aheshimu Mahakama.

Binafsi iliniudhi sana kuwaona CHADEMA mnamsapoti Tundu Lissu hata pale alipoitwa na Mahakama na kushindwa kuhudhuria kwa kudai kajiweka karantini halafu akaja kuonekana kwenye mikutano na baadhi ya Maandamano.

Mbowe msiichezee Tanzania kama kweli mnajua hamjavunja sheria kwanini mnakuwa na wasiwasi?

Tume ya uchaguzi kama itamkata Lissu lazima itoe sababu so kabla CHADEMA hamjafanya maamuzi itabidi muipime hiyo sababu na mjiulize, je kaonewa ama la.

Msitutishe nchi hii ni kubwa kuliko CHADEMA na CCM pia uchaguzi sio baina ya CCM na CHADEMA tu bali kuna vyama kibao so CHADEMA mkijitoa uchaguzi bado utakuwepo tena kwa nguvu ile ile.

====

Watanzania wenzangu, tuna masaa 24 kwa NEC kuweka Msingi wa Amani ya Tanzania. Mkakati wowote wa kuengua kwa hila wagombea wetu utapokelewa kwa kishindo kikubwa. #NoLissuNoElection!#SasaBasi! Uzalendo uonyeshwe kwa kusimamia haki na si vinginevyo.

View attachment 1547347
pumzi inakata
 
kunya anye kuku akinya bata kaharisha...mbona akina nnape wanahubiri vita hadharani tena mbele ya viongozi wanafiki wa kidini..hamyaoni hayo pumbavu kabisa.
 
Mhe. Mbowe anatishia amani ya nchi yetu kwa maslahi yake ya kisiasa kiongozi kuongea neno lolote linaloashiria vurugu na kuvunja amani, huo ni uchochezi.

Mhe. Mbowe leo katumia Ukurasa wake wa Twitter kuandika Maneno ambayo yanaashiria kuhamasisha vurugu na kuitishia Tume ya Taifa ya uchaguzi na kuonyesha nia ya dhati ya kutaka kuingilia mamlaka yao.

Kama siku zote CHADEMA mmekuwa wahubiri wa kutaka watu waheshimu Mamlaka na sheria za nchi basi nyie mnatakiwa muwe mfano. Kwanini mnakuwa na wasiwasi sana juu ya Mgombea wenu?

Kwanini Mgombea wenu aheshimu sheria na Utaratibu uliopangwa kwanini mgombea wenu aheshimu Mahakama.

Binafsi iliniudhi sana kuwaona CHADEMA mnamsapoti Tundu Lissu hata pale alipoitwa na Mahakama na kushindwa kuhudhuria kwa kudai kajiweka karantini halafu akaja kuonekana kwenye mikutano na baadhi ya Maandamano.

Mbowe msiichezee Tanzania kama kweli mnajua hamjavunja sheria kwanini mnakuwa na wasiwasi?

Tume ya uchaguzi kama itamkata Lissu lazima itoe sababu so kabla CHADEMA hamjafanya maamuzi itabidi muipime hiyo sababu na mjiulize, je kaonewa ama la.

Msitutishe nchi hii ni kubwa kuliko CHADEMA na CCM pia uchaguzi sio baina ya CCM na CHADEMA tu bali kuna vyama kibao so CHADEMA mkijitoa uchaguzi bado utakuwepo tena kwa nguvu ile ile.

====

Watanzania wenzangu, tuna masaa 24 kwa NEC kuweka Msingi wa Amani ya Tanzania. Mkakati wowote wa kuengua kwa hila wagombea wetu utapokelewa kwa kishindo kikubwa. #NoLissuNoElection!#SasaBasi! Uzalendo uonyeshwe kwa kusimamia haki na si vinginevyo.

View attachment 1547347
Kwa Tanzania na Watanzania ninaowajua mbao wao Chadema wanadhani wana sapoti kubwa ya Watanzania, wanajidanganya tu. Kwa nini Mbowe ana hofu, hiyo hofu inatoka wapi? Je kuna sheria wamevunja sasa wanatafuta huruma ya Watanzania? muda utaongea
 
Wavuta Bangi waliokula gheto kwa cyprian Musiba sasa wapo mitandaoni tujiandae kukabiliana na utetezi wao unaofanana baada ya kukaririshwa upumbavu mwingi mno toka kichwani mwa Kubwa jinga Le mutuz na cyprian Musiba mwenyewe.
Pia Kuna wanywa faru umu

Sent from my JKM-LX1 using JamiiForums mobile app
 
CCM kazi yao ni kuwabambikia kesi kuwapiga risasi chadema tu
Mtu yoyote anayegombea uongozi kupitia chadema ni jabari la kisiasa, na ni binadamu anayejiamini mnoooo katika awamu kandamizi ya kihuni kuwahi kutokea tangu kuasisiwa kwa taifa hili.
 
Wapi ameleta uchochezi we Pimbi ? Hivi nyinyi mapimbi wa kihutu mnafikiri mtatawala milele heshimuni haki za watu.
 
Hayo mambo ya kukaa kwa shemeji huwa naona humu JF baadhi ya watu wakishambulia wengine,hua nawaona wapuuzi na walioishiwa hoja!Kuanza kmtambia mtu usiyemjua ni uwendawazimu!Grow up,pathetic idiot!
Kama hukai kwa shemeji utaumia nn? Kama unajitambuwa huwezi kuleta hoja mfu na kuonyesha ulivyo kilaza namna hiyo
 
Back
Top Bottom