Tweet za Abdul Ameir zaleta taharuki huko Twitter

Najuaga ni kwenye mpira uku kumeoza kutokana na kufungiwa kambi mda mrefu
Afu mbna kwenye mpira, naona sio sanaa.
Heka heka za kandanda na kabumbu, hata nyege zinakuwepo kwanii?

Afu kulee wengi Tops na versatile, B wa kutafuta yaan.
 
Vanessa alimkimbia jux, baada ya kukuta wanashare bwana, tena wa mjengoni,

Anakuja kustukaa kumbe jux ni mke was mkurugenzi wa Hyatt regency, mke mwenza na Nedy music.

Akaona akimbie mazimaa, πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Ivi haya mambo huwaga ni ya kweli? Dada
 
Duh hatari hii
 
Dah! Kuna wakati mwingine unaweza usiamini unachokiona. Anyway, kama alikuwa ana mienendo hiyo natumaini kaacha au anapambana kuacha. Ni kweli account ni yake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…