Tweet za Abdul Ameir zaleta taharuki huko Twitter

Ila Dully naye inaonekana alivamia mitandao kama wadada wa kazi na simu za mikopo...Yaani linacomment vitu public ,yaani linamtweet MO kuomba namba yake onbehalf of her mother.
 
Inaonekana unakujua huko,
Ebu fafanua straight ni mtu wa aina gani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…