Tweet za Abdul Ameir zaleta taharuki huko Twitter

Sema mpaka sometimes Namhurumia huyo Mama.

Si ajiuzulu tu. Shida iko wap? Ajiuzulu zake akaishi zake Oman. Pesa kibao anayo. Aache kusikiliza wahuni. Wanampoteza
Haiwezi shindana na Gen Z akawaweza.
Shida ni madili ya watu. Umekula mabilioni ya watu wamefadhili kampeni huku ukiwaahidi kuwapa ardhi, madini au kurudisha pesa + interest, utajiuzulu halafu uwaache hivi hivi tu? Vipi utitiri wa machawa na familia zao? Ukijiuzulu watakula nini?
 
Kwa muonekano wake huyo Dully, mbona sioni km ni basha? Anaonesha yeye ndo Analiwa.

Kumbe kweli nae yuko ktk industry, tena hajifichii, yuko wazi waziii.

Duuuh mabwakuuuu!!!
Na uhakika RIP Warumi atakuwa na faili lake.....
 
Huyu ndiye anayetuua, hana maadili hata kidogo kama alivyo mama yake Samia. Alishawahi kutuita watanganyika "VINYANGARIKA" tukishindwa itakuwa aibu sana kwetu. Tusiogope, Saa ya ukombozi itafika, hatutamshindwa, tutakuwa na Tanzania yenye amani na isiyo na utekaji, mauaji, ubakaji, na ulawiti kama anaoufanya Abdul Hafidh Ameir. Ana tabia mbaya sana huyo kijana asiyekuwa na matunzo mema.
 
King Kong III nimetoka kapa hapa, ufafanuzi plz
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…