Twende kazi: Ipi gari kali kati ya "Toyota IST" vs "Toyota Alex"

Twende kazi: Ipi gari kali kati ya "Toyota IST" vs "Toyota Alex"

kikoozi

JF-Expert Member
Joined
Jun 24, 2015
Posts
2,094
Reaction score
3,108
Wakuu kama unataka kuvuta chuma ambacho kipo vizuri kwenye barabara kati ya toyota ALEX na IST, ipi ya kununua wakuu?


1613821242029.png

Toyota IST

1613821316113.png

Toyota Alex

 
Allex ni ndefu( length) halafu height yake ni ndogo, kwa hiyo inaleta shape kama ya kiatu, halafu hata kwenye matuta mengine inagusa
Hio IST haiwezi fikia Allex kwa uzuri mpaka comfortability ya ndani 😂! Allex ina Premio like Interior na umbo lake la nje liko so appealling hasa ikiwa coupled with nice rims.

Kama kuna gari ina shepu kama kiatu ni IST ni sababu tu ya 1300cc na beo ndogo ndio maana zimejazana IST ila kwa mvuto Allex ingeuzwa bei sawa na IST af iwe na 1.3L engine hamna mtu angenunua IST.
 
Back
Top Bottom