Twende kazi: Ipi gari kali kati ya "Toyota IST" vs "Toyota Alex"

Twende kazi: Ipi gari kali kati ya "Toyota IST" vs "Toyota Alex"

Hapana aisee, ile gari ni ngumu sana kila idara, hata body yake haichoki haraka kama Ist. Halafu hua inashukurani sana ukiiwekea rim kidogo tu inakuwakisha haswa. Tofauti na Ist.

Kwa mtazamo wangu, allex/runx ni bora sana than Ist.
Gari inayopimpika zaidi katika hizi baby cars ni Allex or RunX! The design is perfect

Yani ukiitia 17"za maana inanyooka kweli kweli. On top of all inakupa 14KM/L very comfortably na AC sasa kuna raha zaidi ya hio. Na kubwa zaidi huonekani wacky ukiroll kwenye allex kama hao wa Vits, Ist na Team Passo fo sho!
 
Hivi allex ina new model kama ilivyo ist?
Hiyo Hapo.
dims.jpeg
dims%20(1).jpeg
dims%20(2).jpeg
 
Back
Top Bottom