Twende kazi: Ipi gari kali kati ya "Toyota IST" vs "Toyota Alex"

Twende kazi: Ipi gari kali kati ya "Toyota IST" vs "Toyota Alex"

Leo nimeamini watu wengi hawajui mambo ya Magari yaani anafananisha allex na IST?
Kwanza ukishasikia Toyota Corolla ujue hiyo ni bonge la ndinga ikiwemo allex...Kwanza madereva wa IST huwa tunawadharau Sana barabaran kutokana na Yale mapepe Yao
 
Hio IST haiwezi fikia Allex kwa uzuri mpaka comfortability ya ndani [emoji23]! Allex ina Premio like Interior na umbo lake la nje liko so appealling hasa ikiwa coupled with nice rims.

Kama kuna gari ina shepu kama kiatu ni IST ni sababu tu ya 1300cc na beo ndogo ndio maana zimejazana IST ila kwa mvuto Allex ingeuzwa bei sawa na IST af iwe na 1.3L engine hamna mtu angenunua IST.
Allex bei inaendaje?
 
allex mnyama nilikuaga nae huyu. sikujuta kabisa. lazima nitamnunua tena
 
Mzee ukiangalia hivyo utabadili mawazo kila siku humu jamvini[emoji16][emoji16]
Daa ALEX kasifiwa sana nimemuweka kwenye nafasi ya kuwa gari ya Kwanzaa kununua

Oyaa beigani uyo Alex
 
[emoji16][emoji16][emoji16] ningeshangaa sana kama usingepita hapa kuwapa kibano madereva wa IST

Back
Top Bottom