Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Gari zote zinakuja zikiwa na balanced stability ila mnachoanzaga kufanya ni kutia spacer ili gari ifike Goba mabondeni ulipojenga. Ila haikutengenezwa kupita njia zile unataka uifosi ifike kwako unatia spacer tayari umeua stability.Allex na Runx ni gari nzuri kwa muonekano safi kabisa ila kwenye stability kwenye soeed namashaka nazo, zinayumba sana
Bei yake nishilingi ngap nikiagiza Japan mpaka naitoa bandarini kupitia agentBei yake imechangamka kidogo
Ok all in all gari ni kama Dem, kuna wanapenda tako, miguu, macho, pua, meno.Gari zote zinakuja zikiwa na balanced stability ila mnachoanzaga kufanya ni kutia spacer ili gari ifike Goba mabondeni ulipojenga. Ila haikutengenezwa kupita njia zile unataka uifosi ifike kwako unatia spacer tayari umeua stability.
Unabadili shockup unaweka weak shockups gari inakuwa na body roll ya hatari...Tayari umeua stability hapo. Kisha unakuja kulalamika mbona gari ile haina stability
Kama uko shamba au njia zako ni rafu sana chujua IST...ula ni mjini rami sana chukua allex au runxushauri wako kama mtu anataka mnyama avute mnayama gani
kwanini mkuu, je IST ina uwezo mkubwa wa kuimili mikiki mikiki ya barabara za vumbi na njia ngumu au unaongelea kwa upande kuwa ata ikiaribika poa tu?? naomba ufafanuzi mzuriKama uko shamba au njia zako ni rafu sana chujua IST...ula ni mjini rami sana chukua allex au runx