Twende kazi: Ipi gari kali kati ya "Toyota IST" vs "Toyota Alex"

Leo nimeamini watu wengi hawajui mambo ya Magari yaani anafananisha allex na IST?
Kwanza ukishasikia Toyota Corolla ujue hiyo ni bonge la ndinga ikiwemo allex...Kwanza madereva wa IST huwa tunawadharau Sana barabaran kutokana na Yale mapepe Yao
 
Allex bei inaendaje?
 
allex mnyama nilikuaga nae huyu. sikujuta kabisa. lazima nitamnunua tena
 
Mzee ukiangalia hivyo utabadili mawazo kila siku humu jamvini[emoji16][emoji16]
Daa ALEX kasifiwa sana nimemuweka kwenye nafasi ya kuwa gari ya Kwanzaa kununua

Oyaa beigani uyo Alex
 
[emoji16][emoji16][emoji16] ningeshangaa sana kama usingepita hapa kuwapa kibano madereva wa IST
Leo nimeamini watu wengi hawajui mambo ya Magari yaani anafananisha allex na IST?
Kwanza ukishasikia Toyota Corolla ujue hiyo ni bonge la ndinga ikiwemo allex...Kwanza madereva wa IST huwa tunawadharau Sana barabaran kutokana na Yale mapepe Yao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…