Twende kazi: Ipi gari kali kati ya "Toyota IST" vs "Toyota Alex"

Halafu Kuna msukuma analeta Uzi eti IST ni balaa kwa Toyota Allex.


Wasukuma ndio maana nchi imewashinda.
 
nimeona run x ya 2018 ni balaa tupu

 
Hio sini Toyota Rush. Halafu naona hata serikali imenunua sana hii gari 😂 inaonekana ipo vizuri.
 
You got it right!

Malizia ukikafunga na mziki wa kuwakera kidogo na uweke led strpes kimtindo. 😀
 
Inaonesha wamiliki wa Toyota allex wapo wengi kwenye huu uzi, mana jamaa alivyogombaniwa hana hamu Tena!
 
Tatizo la IST utafikiri yunifom za shule ya msingi.

Zimetapakaa mpaka vinijini.

Ist ni gari ya kujitolea ushamba wa gari
Tatizo hujaangalia picha ya IST aliyoilinganisha na Alex. watu wengi wakiambiwa IST wanavuta picha ya hizo mnazoziona mtaani zimejazana lakini kuna toleo jingine ambalo ni zuri kuliko hizo Alex.
 
Tatizo wat hawajaangalia picha ya IST aliyoilinganisha na Alex. watu wengi wakiambiwa IST wanavuta picha ya hizo mnazoziona mtaani zimejazana lakini kuna toleo jingine ambalo ni zuri kuliko hizo Alex.
 
unataka kuniambia toyota alex kwenye barabara ya vumbi ni mwendo mdundo???
Iko poa sana hiyo gari. Inafanana karibia kila idara na Runs, lakini katika specs, Allex ina body kubwa, ingawa zoye hizo ni kutoka uzao wa COROLLA.
IST ziko common sana, hata ile new model yake imejitahidi lakini mayai.
Namshauri mdau opt Allex kuliko IST
 
Tatizo wat hawajaangalia picha ya IST aliyoilinganisha na Alex. watu wengi wakiambiwa IST wanavuta picha ya hizo mnazoziona mtaani zimejazana lakini kuna toleo jingine ambalo ni zuri kuliko hizo Alex.
Hizo unazozisema tunazifaham. Hata Allex nazo wametoa toleo jipya. Tunazungumzia hizi zilizozagaa mtaani
 
ist
 

Attachments

  • BH794452_1.jpg
    31 KB · Views: 29
  • BH794452_2.jpg
    26 KB · Views: 30
  • BH794452_3.jpg
    23.4 KB · Views: 32
Allex na Runx ni gari nzuri kwa muonekano safi kabisa ila kwenye stability kwenye soeed namashaka nazo, zinayumba sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…