Hebu mjulishe Mshana Jr atuanzishie hii kitu5,000 x 100,000 mzigo mkubwa..tuhimizane kwa chochote mtu alicho nacho Erythrocyte
Chukulia strategy kama hii. Kama tuna wanachama wa kweli kweli kabisa, tukiwa nao say 1,000,000 kila mmoja akakatwa 2500 kutoka kwenye namba yake ya simu automatically with his ruhusa, zitapatikana 2,500,000,000 unaonaje approach hiyo!Hebu mjulishe Mshana Jr
Asante studioNaweka mzigo kila siku ninapojaaliwa
AsanteWengine hatuna chama, lakini (kwa hali tuliyofikia kama nchi) hatuna budi kusimama na wale wanaobeba agenda ya wananchi, badala ya agenda ya kikundi cha mazafakas wachache.
Mimi nimeshajipa commitment ya kuwachangia CHADEMA kila mwezi for as long as it takes to wrest control of the country from the network of CCM political thugs!
Asante kwa taarifa
Sawa mkuuImekuwa vizuri watu kupata na kujua njia sahihi ya kuchangia
Maana wengine walikuwa hawajui namna ya kuchangia
Hamasa iongezeke, mapata yaongezeke, mapambano yaendelee
Gentleman,Aione bwana mdogo Tlaatlaah
Huu ni wajibu, kwa kila mTanzania anayejali taifa lake.5,000 x 100,000 mzigo mkubwa..tuhimizane kwa chochote mtu alicho nacho Erythrocyte
asante sanaHuu ni wajibu, kwa kila mTanzania anayejali taifa lake.
Hili kwa kweli halihitaji nguvu kubwa kwa hali ilivyo sasa. Naamini lengo litafikiwa na kuzidi mara dufu.
Kazi ya kukumbushana iendelee kwa wale wasahaulifu.
Nitaweka 200k JumatatuHadi jana tulikuwa na 144M cash. usipitwe ukichanga.changa tena buku inadhamani kubwa.sana kwetu.
Nitakuwa naleta updates hapa daily moto wa tonetone ni mkali sana ccm hawaamini macho yao.
CHANGIA SASA
M-Pesa
Namba: 0744446969
Jina: CHADEMA HQ
NMB Bank
Namba ya Akaunti: 22606600140
Jina la Akaunti: Chama cha Demokrasia na Maendeleo.View attachment 3632507
Safari mdogo mdogoHadi jana tulikuwa na 144M cash. usipitwe ukichanga.changa tena buku inadhamani kubwa.sana kwetu.
Nitakuwa naleta updates hapa daily moto wa tonetone ni mkali sana ccm hawaamini macho yao.
CHANGIA SASA
M-Pesa
Namba: 0744446969
Jina: CHADEMA HQ
NMB Bank
Namba ya Akaunti: 22606600140
Jina la Akaunti: Chama cha Demokrasia na Maendeleo.View attachment 3632507
Acha hizo, mkuu! Kuwa jobless haina maana kwamba huna hela.Jobless mie jamani