Hadi jana tulikuwa na 144M cash. usipitwe ukichanga.changa tena buku inadhamani kubwa.sana kwetu.
Nitakuwa naleta updates hapa daily moto wa tonetone ni mkali sana ccm hawaamini macho yao.
CHANGIA SASA
M-Pesa
Namba: 0744446969
Jina: CHADEMA HQ
NMB Bank
Namba ya Akaunti: 22606600140
Jina la Akaunti: Chama cha Demokrasia na Maendeleo.View attachment 3632507
siyo nyinyi tu hata wafanyakazi wa ummaSisi sisiem tunatumaje ili tusijulikane?
Mkuu asante kwa laki 5 nimeona muamala wako
Utapata zaidi kuliko ambacho ungepata kwenye mkekaSafi sana. Kuna mzigo nilitaka kuuweka kwenye mkeka wa fainali ya leo, ngoja niwarushie wanangu chadema wapige harakati za ukombozi