Johnny Impact
JF-Expert Member
- Sep 12, 2017
- 5,502
- 9,070
Suala siyo kazi, suala ni hela. Unalipwa 10k kwa siku. Matumizi ni shiling ngapi?Ni kweli....
Kazi ni kipimo cha utu
We ni mjinga sana"Black people are good for nothing apart from indulging in sex and having so many wives."
Pieter W. Botha, a former President of South Africa during the Apartheid era.
Tanzania watu waanze kulipwa kwa masaha uone kama hawatajitumaSuala siyo kazi, suala ni hela. Unalipwa 10k kwa siku. Matumizi ni shiling ngapi?
Hata ufanye kazi kama mchwa ila utabaki kuwa masikini tu kea sababu ya hela unayolipwa. Huu uzi mejadili mkiwa melewa?
Hata hio elf 10 wanaolipwa ni wachache.Suala siyo kazi, suala ni hela. Unalipwa 10k kwa siku. Matumizi ni shiling ngapi?
Hata ufanye kazi kama mchwa ila utabaki kuwa masikini tu kea sababu ya hela unayolipwa. Huu uzi mejadili mkiwa melewa?
Okay...... basi tuseme uchumi wa nchi hizo unazalisha ajira nyingi zenye vipato vizuri ndio maana watu wanajituma kupiga kazi.Suala siyo kazi, suala ni hela. Unalipwa 10k kwa siku. Matumizi ni shiling ngapi?
Hata ufanye kazi kama mchwa ila utabaki kuwa masikini tu kea sababu ya hela unayolipwa. Huu uzi mejadili mkiwa melewa?
Asilimia kubwa ya watu wa jf wana fantasyKama unalipwa kwa saa unaachaje kupiga kazi Sasa.
Sisi kwa saa wengi wanalipwa sh elf Moja sawa na sh elf tano Kwa siku.
Wao kwa lisaa unalipwa kuanzia dollar 10 kuendelea kwann usipige kazi
Inasikitisha sanaKila eneo lina value for money yake .unakuta huko unalipwa buk4 ila unaweza kula milo mi4...huku pia mishahara mikubwa ila expensive life ingawa huko kumezidi..mnanyonywa sana
Mfano.Okay...... basi tuseme uchumi wa nchi hizo unazalisha ajira nyingi zenye vipato vizuri ndio maana watu wanajituma kupiga kazi.
Nimekuelewa....
Wabunge na mawaziri wanapiga kaz au hawapig kaz .ni mishahara minono waliyonayo..naomba unijibu...watu wa serikalin wanapiga kaz au hawapig kazi naomba ujib haya.Wanajituma katika kufanya kazi, kwa sababu wanalipwa vizuri. Mwajiri asipokujali, hata ile bidii ya kufanya kazi, inakata. Maana ukikaa unawaza utatokaje kwenye lindi la umasikini
Ad hominem attack.We mzungu tuonyeshe mambo ya maana uliyoyafanya na yanagusa watu
Kabisa waTz wanapiga kazi sema salary ndogo na utegemezi mkubwa.Huu uzi unaojadili, watu wanajadili huku wamelewa?
Mtu anafanya kazi kiwandani, analipwa 6000 mpaka 7000 kwa siku. Anaingia saa 1 asubuhi mpk saa 1 usiku. Chakula juu yake.
Hapo hata afanye kazi miaka 4000 hawezi kutoboa maisha.
Tatizo waafrika hasa watanzania wamesharidhika na umaskini wao.Ufanye kazi masaa 24 halafu unalipwa shiling ngapi?
Mwalimu unayemjua anazidiwa hela na kondakta wa daladala
Tena umeenyeka mbaya na ukiumia kazin utajijua.Hata hio elf 10 wanaolipwa ni wachache.
Wengi ni elf 4 Hadi Saba Kwa siku kwa masaa zaidi ya kumi kwa siku
Watanzania wengi ni wajinga.Kabisa waTz wanapiga kazi sema salary ndogo na utegemezi mkubwa.
Hata ukiwapa hizo technology na mitaji still wataendelea kuwa masikini TU,Kupiga KAZI ni mfumo .Mfano.
Idadi kubwa ya watanzania wanategemea kilimo cha mvua. Kibaya zaidi wanalima kwa kutegemea jembe la mkono na mbegu wanatumia za kizamani.
Hayo mazao wanapata faida ya kubadilisha yao?
Watu wanafanya kazi sana ila shida ni teknolojia na mishahara duni huku gharama za maisha zikiwa juu
Hicho kiwanda kinacholipa wafanyakazi kwa masaa ni lazima kifungwe ccm haijawahi kutaka kuona watanzania wanafanikiwaTanzania watu waanze kulipwa kwa masaha uone kama hawatajituma