Hapo kwenye bold…
Hao viongozi wanatokana na sisi wananchi wenyewe, hawatoki kuzimu.
Utamaduni..., na maana ya utamaduni ni jinsi tunavyofanya mambo yetu (The way we do things) fikra, imani n.k. Zamani pamoja na umasikini wetu..., watu walikuwa Wazalendo na wizi ulikuwa aibu, ingawa watu waliiba na kufanya ufisadi (wachache) lakini jamii iliwaona kama wachawi; leo hii wizi ni ujanja ukiwa Mbunge ukimaliza term haujapata mali watu wanakuona ni mjinga na ulichezea opportunity.... Hivyo zao la kesho linakuwa kwa kuona kwamba wizi ndio ujanja na kila anayekemea huu wizi anaonekana ana wivu.....
Kinachowajenga na kuwapa nguvu kuwa hivyo walivyo sasa ni jamii yetu. Wao ni zao letu, ni watu miongoni mwetu na matokeo ya mienendo ya jamii yetu.
Mentality ya sasa watu wanaangalia vitu kwa mafungu wame-wabrain wash watu kwamba as in the animal farm wao ndio thinkers kwahio inabidi wale creme de la creme ili kuwatafutia maisha majority kitaa..., na ukiangalia Historically haya ni marudio tu, hivi vitu vikifikia peak na hawa majority kuzidi kubanwa mwisho wa siku wata-revolt it happened in French revolution...., tatizo la kuacha hii hali itokee automatically gharama huwa ni kubwa sana na huenda msirudi kwenye reli kwa miaka mingi... Kwahio hawa viongozi wangejua kula na vipofu angalau kuwapa basic needs (Historically binadamu amekuwa akinyonywa -
Matsya Nyaya) lakini hata paka akiwa cornered hugeuka simba na ndicho kinachotokea sasa - nachelea kusema hata enzi za Mabwana na Watwana angalau Watwana walikuwa provided na chakula na sehemu ya kulala
Bado kuna jambo lipo linalosababisha hii tofauti kati yetu kuwepo.
Systems in place..., angalau huko kuna Taasisi zenye nguvu na kinachokusanywa ni shida kuliwa sababu kuna taasisi za habari ingawa sio perfect zinaweza kufichukua hence ku-act kama polisi wa kuzuia ufujaji..., kuna miundo mbinu ambayo inahakikisha mtu hata kidogo anachopata anaweza kutumia usafiri (public) kufika kwenye ka- ajira kake ambapo na anachopata huko kinamtosha kupata chakula...., na hapo naongelea nchi ambazo zina system nzuri n.k. sababu hata kina India tunaweza kuona Uchumi wao ni mzuri on paper lakini ukweli ni kwamba majority ni masikini..., naongelea kina United Kingdom ambapo angalau Healthcare ni kwa wote na kuna / ilikuwepo system ya angalau watu kupata affordable housing (Huku hata NHC imegeuka kuwa mtafutaji wa Gawio la Walamba Asali na sio Serikali / UMMA)...., Naongelea nchi kama Nordic Countries....
Kama sisi tulikua bora zamani na hao wenzetu wameiga kwetu basi ni kwanini tunashindwa kurudi katika ubora wetu? Kikwazo haswa ni kipi?
Marginalization, faulo za hapa na pale and empires rise and fall.....; Clans can not defeat empires na katika hii issue ya developed countries Kuzinyonya underdeveloped huwezi kutegemea mmoja mmoja utashindana nao wakati unawategemea kwa mikopo na soko yaani uwakope ili uzalishe kwa quality wanayotaka na uwauzie pale wanapotaka
Kwamba tumeshindwa kabisa hata kuanza upya basi? What really happened to us??
It takes ages there used to be Great Britain (Now its not great anymore) There used to be Roman Empire; Used to be Baghdad.... Timbuktu used to be a great city..., unachofanya leo ndio matokeo ya kesho na ukianza leo inachukua muda lakini cha kubadilisha zaidi ni mentality....
Jews na immigrants wengi kwenye nchi za watu the second generation huwa inafanya vizuri sana (sababu wazazi wao amabo walitoil they had to work harder na kuwaambia watoto wao they need to run wakati wengine wanatambe hivyo wana-instill kujituma na kujinyima kwa watoto wao na kama opportunity zipo basi katika same place hao immigrants watafanya bora.., mtoto wa Kihindi alikuwa akitoka shule badala ya kwenda kucheza na nyie wenzake yeye anakuwe dukani kuuza..... (lakini kama hakuna opportunities na watu wamegota kwenye poverty cycle basi wataendele kuwa duni).., Unaweza ukajitahidi wewe mmoja ukatoka lakini as a whole tunahitaji systems and infrastructures ambazo ni sustainable na bora kwetu
Hii hali ukiifikiria kwa umakini unaona kabisa it goes beyond colonialism.
Walitufanya nini mpaka tuko hapa leo hii na kila juhudi ya kunyanyuka tena inapotea kila ikichipua?
Colonialism ilituharibu kwa kutupiga break na kuturudisha nyuma; neo colonialism na imperialism inatufanya tuendelee kuwa tegemezi tunaendelea kulishana matango pori na mbaya zaidi tumekuwa walafi kwahio kila anayepewa usukani wa kuendesha Taifa anajiangalie yeye hence badala ya kufanya whats good for the nation anafanya what's good for him / her...
The field is not fair...., Kwa kuwategemea wao watutoe hapa watupeleke pale ni kama Muwindwa kumtegemea Muwindaji kwamba Atalinda Maisha yake