Dr. Mariposa
JF-Expert Member
- Dec 2, 2014
- 5,921
- 19,772
Nimesha faham unacho waza...πduuuh!,kuna comment nasubiri.
"He without a sin should cast the first stone, we should look in the mirror and double check our appearance.Ila Mungu wa huruma sana hata wasagaji nao anawasikiliza vizuuuuri
Ahsante, Alhamdulillah ππ½ Aljumaa Kareem.Asalaam aleykum waungwana wote,
Najiandaa kwenda masjid, tangu nimeamka nimefungulia surat al Kahf, nyumba nzima nimefukiza udi, nguo zangu nimezifukiza udi pia, nikimaliza kuandika na kupost naenda kuoga, najisugua vizuri kila kona ya mwili nikitoka hapo najifukiza udi mwili mzima, nachana nywele zangu na kuzibana vizuri, navaa Abaya langu huyoooo safari ya kwenda msikitini, nitakuwepo msikiti wa Ngazija safu ya mbele kabisaaaaa,
Nawaomba waumini wa dini ya kiislam kwenda msikitini au hata nyumbani tuitumie hii siku kusali na kumuomba Mungu atujaalie Amani, Upendo, Uvumilivu na Utulivu katika taifa letu,
Pia tuitumie siku hii kuwaombea marehemu wote waliotutangulia,
Nawatakia Aljumaa Kareem.
Nawapenda wote.
Sema kweli...π³Ila Mungu wa huruma sana hata wasagaji nao anawasikiliza vizuuuuri
Habari ya siku nyingi mkuu!!Asante kutukumbusha. Hakikisha nywele umezifunika. Kila nywele yako moja itayoonekana ni sawa umezini na mwanaume mmoja.
Salama mkuu hofu kwako. Nipo aisee. Natafutwa na asiejulikana πHabari ya siku nyingi mkuu!!
Sijakuona kitambo sana, alafu kuna semeh nimeona unatafutwa aisee
DuuhAsante kutukumbusha. Hakikisha nywele umezifunika. Kila nywele yako moja itayoonekana ni sawa umezini na mwanaume mmoja.