ILAN RAMON
JF-Expert Member
- Sep 10, 2013
- 10,292
- 4,976
Umeshindwa kuandika neno Haki
Unsure if God exists or notUnaelewa nini kuhusu Agnosticism
Suuratul Baqrq (3-4)Allah anasemaUnaelewa nini kuhusu Agnosticism
Una feli wapi, akati unge niimbia hiyo nyimbo huenda ninge sinzia 😅🦅It's funny how some distance makes, everything seem small,
And the fears that once controlled me,
can't get to me at all,
It's time to see what I can do,
To test the limits and break through,
No right, no wrong, no rules for me
I'm freeeeeeeeeeeeeee
Btw, nilikua macho ila nadhani nilikua nishazima simu, naona siku hizi usingizi kwangu imekua kipengele kikubwa sana
Ni sahihi kwanini wafuasi wa Mwampopo ni bora kuliko wao?Kwa uelewa wangu ni kuamini kuwa Mungu yupo au inawezekana hayupo kwa kukosa uhakika na hii inakuja kwa kujisemea kuwa hujathibitisha kuhusu uwepo wake
Hao ni waumini kwa ambaye haamini au hana uhakika wa kuamini tunamsaidiaje?Suuratul Baqrq (3-4)Allah anasema
"Ambao huyaamini yasionekana na husimamisha sala na kutokana na tulivyowarudhuku wao hutoa"
"Na ambao wanayaamini yaliyoteremshwa kwako na yaliyoteremshwa kabla yako na akhera wanayakini nayo"
Kuna rafiki yangu mmoja ananishawishi sana niingie imani yao inaitwa Baha'i ushawahi kuwasikia? huyu jamaa ni Mmarekani lakini inaonesha hiyo imani imemkaa kweli kweli kuliko hata WaIrani wenyewe, lolSuuratul Baqrq (3-4)Allah anasema
"Ambao huyaamini yasionekana na husimamisha sala na kutokana na tulivyowarudhuku wao hutoa"
"Na ambao wanayaamini yaliyoteremshwa kwako na yaliyoteremshwa kabla yako na akhera wanayakini nayo"
Mimi tena ndo nikuimbie mwenye kazi yake angekua anafanya nini?Una feli wapi, akati unge niimbia hiyo nyimbo huenda ninge sinzia 😅🦅
Jana ndio siku usingizi uli goma kabisa, nime cheza game mpaka saa 10.
Asalaam aleykum waungwana wote,
Najiandaa kwenda masjid, tangu nimeamka nimefungulia surat al Kahf, nyumba nzima nimefukiza udi, nguo zangu nimezifukiza udi pia, nikimaliza kuandika na kupost naenda kuoga, najisugua vizuri kila kona ya mwili nikitoka hapo najifukiza udi mwili mzima, nachana nywele zangu na kuzibana vizuri, navaa Abaya langu huyoooo safari ya kwenda msikitini, nitakuwepo msikiti wa Ngazija safu ya mbele kabisaaaaa,
Nawaomba waumini wa dini ya kiislam kwenda msikitini au hata nyumbani tuitumie hii siku kusali na kumuomba Mungu atujaalie Amani, Upendo, Uvumilivu na Utulivu katika taifa letu,
Pia tuitumie siku hii kuwaombea marehemu wote waliotutangulia,
Nawatakia Aljumaa Kareem.
Nawapenda wote.
hakunaa, huku msikia asake ana imba it's lonely at the top.Mimi tena ndo nikuimbie mwenye kazi yake angekua anafanya nini?
Sijawahi kuwasikiaKuna rafiki yangu mmoja ananishawishi sana niingie imani yao inaitwa Baha'i ushawahi kuwasikia? huyu jamaa ni Mmarekani lakini inaonesha hiyo imani imemkaa kweli kweli kuliko hata WaIrani wenyewe, lol
Kwa ambaye hana uhakika hatuwezi kumuhukumu mojakwamoja ila km anayo dhamira ya kujifunza basi ni kumsaidia kuipata elimu sahihiHao ni waumini kwa ambaye haamini au hana uhakika wa kuamini tunamsaidiaje?